mwaJ achana na MziziMkavu!!!!Hapo hakuna kukata kona!
mwaJ achana na MziziMkavu!!!!
Tena vichochoro vyenye kona nyingi ndo barabara zake, hapo kakosea njia tu.
Ila mkute vichochoroni uone macontol yake.
naona mko na maswaga hatareee miaka gani hiyo?
MziziMkavu alikuwa anatishia pale college na hayo madevu, Mbuzi Mzee alikuwa anapenda kuvaa kaptura, nadhani primary ili mharibu, watu8 na Bujibuji walikuwa wanajidai mapacha, wakipiga miwani ni wote.
mpaka afike anakoenda ameshapunguza calories kadhaa kwa sababu ya balancing, lol!
hahaha...sasa hivi nimezeeka wanaovuma ni wengine best!!!
Pole mkuu bora we umejisemea umezeeka wengine wasivyoupenda uzee hata kama wamezeeka bado wanajiona mayanki unamwamkia shikamoo babu anakwambia babua yako niachie yangu,haaaaahaaaaahaaaa uzee kweli mbaya asikwambie mtu.
zabwina mlongo wanguZa magono dada! Ne nivii kybwina, kwali ve na mulamu!!
hahaha...sasa hivi nimezeeka wanaovuma ni wengine best!!!