MziziMkavu haya sema sasa

Umenipatia hapa mzigo huu siuwezi Nitakimbia ile mbaya anaweza kukuuwa kitandani lohhhhhhhhhhhhhh:A S-confused1::becky:


attachment.php


attachment.php

Ha!ha!ha!ha!.. Hapo lazima utumie zile dawa za mashamsham mkuu
 
"Basi yule bwana alipoona kanzu yake imechanwa kwa nyuma, alisema: Hakika haya ni katika vitimbi vyenu wanawake. Bila ya shaka vitimbi vyenu ni vikuu" (quran 12:28
 
Back
Top Bottom