Mzize, ongeza bidii kujifunza

Mzize, ongeza bidii kujifunza

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,608
Reaction score
7,167
Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya kisoka,sasa ongeza bidii kujifunza kila siku.Na wasikilize sana makocha wako sana na pia tafuta makocha wako wa binafsi ili wakupe mazoezi.Kwenye timu ya taifa pale hakuna kocha wa kukufundisha wewe na ndio maana ile mechi ya morocco ulikuwa unakimbiakimbia tu uwanjani.Pambana kijana
 
Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya kisoka,sasa ongeza bidii kujifunza kila siku.Na wasikilize sana makocha wako sana na pia tafuta makocha wako wa binafsi ili wakupe mazoezi.Kwenye timu ya taifa pale hakuna kocha wa kukufundisha wewe na ndio maana ile mechi ya morocco ulikuwa unakimbuakimbia tu uwanjani.Pambana kijana
Kuna nchi ukitoka (Tanzania ikiwemo) hata ucheze kama Beckham husajiliwi EPL hadi upite nchi za kati.
 
Nikikumbuka lile goli alilokosa Ahoua kule zanzibar nusu fainali shirikisho watu walivyopiga kelele tena yule ni kiungo...sasa kwa striker kama Mzize lazima kelele ziwe nyingi zaidi...
 
Wewe pale ungefunga? Mtu alikuwa staggering na akajaribu kupiga on target
sio staggaring pale mabeki waliokulia kwenye soka walimbana ili akose utulivu na apige tu mradi mradi,ndivyo alivyofanya na wala hatumlaumu ni kumwambia azidi kujifunza zaidi
 
Aliniudhi anataka kuruka tiktaka wakati hata ukifungia ugoko faida ni kubwa KWA timu yako.
 
Lamine Yamal katoka academy game ya Spain Vs Portugal alionekana kama hajui mpira mbona hayo hukuyaongea alipo funga goli mbili Vs Madagascar?
wale madagascar hatupishani nao sana,ndio maana aliwazidi akili,hoja ndugu yangu ni siku akikutana na wachezaji wenye ujuzi kama morocco ndipo shida inakuja,sio kwamba tunamlaumu bali ni kumuomba aongeze bidii,atafute trainer wake wa binafsi kumfundisha kufunga,azidi kufanya mazoexi kila siku mpaka awe bora sana
 
wale madagascar hatupishani nao sana,ndio maana alowazidi akili,hoja ndugu yangu ni siku akikutana na wachezaji wenye ujuzi kama morocco ndipo shida inakuja,sio kwamba tunamlaumu bali ni kumuomba aongeze bidii,atafute trainer wake wa binafsi kumfundisha kufunga,azidi kufanya mazoexi kila siku mpaka awe bora sana
Wa Morocco wao hawakosi magoli?
 
Wa Morocco wao hawakosi magoli?
Achana na usimba na uyanga.
Mzize ana jua kuji position sana yaan anafika mpira unapofika ila shida yake kubwa ni kutumia akilia ya ufungaji hapa ndo ambako kunamuharibia

Hata kuwika kwake kumechelewa kwasababu amekuwa anakosa magoli mengi sana ambayo mtoa mada ndo kaampa mbinu kuwa atafute kocha hata nje ya wa club wakumuongezea ujuzi na kujifunza zaidi

Unavyoongela hapa ni kama una taka kuona ni sawa ila hili swala Mzize achukue sana.

Kama sio makosa ya kutofunga msimu ulopita alikuwa yeye ndo aongoze hata magoli.

Anakitu ndo maana wanao mtakia heri kama mtoa mada anampa ushauri afanye nini.

Na makosa yake yanaonekana sana kwasababu anajua kujiweka sehem mipira inafika ambako wachezaji wengo hawawezi sasa kuwa bora zaidi basi awe mmaliziaji mzuri
 
Wa Morocco wao hawakosi magoli?
wanakosa lakini nafasi moja tu ya muhimu ni lazima waitumie,ndivyo walivyofanya,huyo osama kwenye hayo mashindano,osama kishafunga magoli 4 na ndio huyohuyo aliwafunga simba kwenye fainali zanzibar,anajua sana kufunga,huyo kocha wa morocco ndio kamfundisha osama toka akiwa na miaka 10 hadi leo
 
Back
Top Bottom