WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,425
- 8,131
Ufafanuzi mzuri kama ni mtu wa kuelewa ataelewa ila kama ana mapenzi na hayati jiwe asubiri afufuke ili aje amletee maendeleo maana kwake bila Magufuri hakuna maendeleo Tanzania.Wewe mshenzi akili yako iko tumboni tu ndiyo maana unafikilia kula tu kujaza tumbo. Wenye akili wanafikiria mambo makubwa.
Mzimu wa Magufuli ni nini? Kwangu ni kwamba watu wana furaha baada ya Magufuli kufa. Magufuli alikuwa ni DIKTETA aliyetawala nchi kwa maamuzi binafsi bila kufuata katiba...
Na wewe mbona hujafa kama alivyokufa Magufuri?Wewe mbona hujatekwa?
Aliyemteka Zacharia Tarime nani kama siyo JPM?Hapo ndio jk alisema utawala wake tajiri anaweza kufanywa lolote. Alikua na maana wale fisadi kama singa na rwakatare wa iptl. Hayo ya eti kuteka kupora na kuua ni uzushi tu ila fisadi mlikiona cha mtema kuni. Matokeo wananchi waliyaona kwa uchumi kukua na kuwepo fedha nyingi za miradi kutokana na fisadi na wazembe kufyata mikia yenu.
Muulize Mwenyekiti Mbowe MkuuWapi Saanane, Azory, Mawazo ,viroba vya maiti pale CoCo beach,Ruvu etc ,elewa ni binadamu wenzetu wale, huyu rais alikua muuaji, katili wa kiwango cha juu nchi imewahi kushughudia, wewe unalalama humu kwa sababu familia yako ipo around, je umewahi kujiuliza familia ya Azory inauspicious vipi?,je lini watapata closure?,LNG ipo njiani kwenda ile black address
Wanaoshiriki wizi na kukandamiza haki za wananchi siku yao ya kujibu ipo...walioshirikiana na Jpm ktk kuteka, kutesa, kupora fedha na mali, na kuua, nao wanateseka na mzimu wake kila siku.
Aisee unateseka sana kuliko hata aliyepo Jehanamu 🤪🤪Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka....
Alikupa Uhuru wewe zaidi ya kushusha uchumi wa Tanganyika na socialism yakeBaba wa Taifa ni mzalendo pekee kuwahi kutokea tangu uhuru nae ni Mwalimu Julius kambarage Nyerere!! Over
Uchumi wa Tanganyika ulikuwaje wakati wa ukoloni?Alikupa Uhuru wewe zaidi ya kushusha uchumi wa Tanganyika na socialism yake
Kwa hiyo wewe siyo mjinga?Wajinga wachache wanapumbazwa na politics
Afrika kusin imejengwa na Nan? Na Buguruni imejengwa na Nani ? Nan ana afadhali ?Uchumi wa Tanganyika ulikuwaje wakati wa ukoloni?
Alitumia ujinga wenu na umaskini kuwatalaKwa hiyo wewe siyo mjinga?
Buguruni ndiyo Tanzania pekee?Afrika kusin imejengwa na Nan? Na Buguruni imejengwa na Nani ? Nan ana afadhali ?
Una ugiligili kichwaniBuguruni ndiyo Tanzania pekee?
Nakuuliza Buguruni ndiyo Tanzania?Una ugiligili kichwani
Ikiwa alifanya mazuri au mabaya mwacheni kwanini kila wakati mnamsakama?Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka...
Buguruni iko TanzaniaNakuuliza Buguruni ndiyo Tanzania?
Hata Gwitiryo iko Tanzania,Hata Uyui iko Tanzania,Hata Lamadi iko Tanzania,Hata Ruiwa iko Tanzania,Hata Kalambanzite iko Tanzania.Buguruni iko Tanzania
Hii ni police case, raia kupotea/kuuliwa ni wajibu wa police Kuja na majibu, sikulaumu mkuu kwa kufikiria hivyo ndio matokeo ya middle class kuzamishwa vichwa vyao mchanganiMuulize Mwenyekiti Mbowe Mkuu