Kiporo kipya
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 401
- 388
Duu
yaani sjui itakuaje shigongo hajawah kuniangusha hahha
hahahaha yan me staki shida nikiona hajapost nina hadithi zangu kama tatu au zaidiNatamani kesho iwe alihamisi maana si kwa kuachwa njiani huku na shigongo
hahahaha yan me staki shida nikiona hajapost nina hadithi zangu kama tatu au zaidi
Kuna hii, nikiona haijapostiwa nasoma dili la bilion 4, nikiona hii haijapostiwa nasoma ndoa yangu, nikiona pia bado nasoma jumba lililojaa dhambi at least siku inaenda vyema
kiulaini kabisa