Mzigoo huu, unauanzia wapi?

huyo mtu wa mviringo sijapata ona lol!.................jamani ila huu ni mwez wa toba bana hebu usije ukaharibu na kutengua nia za wenzio weye Mbuzi Mzee
 
Last edited by a moderator:
ili uweze kuliendesha hilo tokiti lazima akili iwe imekutoka kidogo
 
Hapo lazima ule msuba kwanza ndo uanze kupanda huo mlima.
 
Halafu anaelekea ni mwamba kupitiliza, huyo eti umguse halafu umwambie unaondoka! lazima ukasimulie!!
 
Nanzia bafuni kumweka safi........................... kwani wengi wao mh!
 
Mbuziiiiiiiiiiiiii,hiyo lazima uilie konyagi kubwa na nyama choma kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…