Mzigo wa NIMR ni kiboko

Mzigo wa NIMR ni kiboko

Wakuu salama?
Na dawa ya NIMRCAF nimenunua asee hii dawa ni kiboko sana, nje na kuponya mafua pia inasaisaidia kule 6x6 kwa bed yani nakula mzigo bila kutoa wazungu.

Dawa hii inamchanganyiko wa Tangawizi, kotunguu swaumu, kitunguu maji, limao na pilipili. Dawa hii sahvi ni adimu inapatikana kwa connection na ipanda bei daily. View attachment 1698567
Vitu vingine hutakiwi kuchangia humu,utasababisha bei ipande mara dufu...
 
Kwanini ukanunue dawa inatengenezwa kilocal hivyo kuforge ni rahisi wakati mchanganyiko unaujua mimi najitengenezea mwenyewe sema toka nimeanza kutumia wiki ya pili sasa asubuhi na jioni.
Faida
1. Napata choo kizuri
2. Mwili unasawa sana huisi kuchoka
3. Nacheuwa sana nadikiri kuondoa gas tumboni
4. Huwa nikinywa bia za baridi kesho yake lazima nipate flue au dalili za tonsil baada ya kuumia hii hiyo hali imekata

Side Effect zake
1.Mwanzoni kichwa kilikuwa kinauma saa moja baada ya kunywa sasa nakunywa na maji mengi

2. Kukojóa mara kwa mara hasa usiku
 
Attachments

  • IMG_20210210_104011_938.jpg
    IMG_20210210_104011_938.jpg
    126.5 KB · Views: 8
  • IMG_20210210_101732_703.jpg
    IMG_20210210_101732_703.jpg
    266.6 KB · Views: 13
  • IMG_20210210_103734_311.jpg
    IMG_20210210_103734_311.jpg
    142 KB · Views: 13
  • IMG_20210210_103919_122.jpg
    IMG_20210210_103919_122.jpg
    134.9 KB · Views: 9
Kwanini ukanunue dawa inatengenezwa kilocal hivyo kuforge ni rahisi wakati mchanganyiko unaujua mimi najitengenezea mwenyewe sema toka nimeanza kutumia wiki ya pili sasa asubuhi na jioni.
Faida
1. Napata choo kizuri
2. Mwili unasawa sana huisi kuchoka
3. Nacheuwa sana nadikiri kuondoa gas tumboni
4. Huwa nokinywa bia zabaridi kesho yake lazima nipate flue au daliki za tonsil baada ya kuumia hii hiyo hali imekata

Side Effect zake
1.Mwanzoni kichwa kilikuwa kinauma saa moja baada ya kunywa sasa nakunywa na maji mengi

2. Kukojóa mara kwa mara hasa usiku
Wewe umeambiwa pilipili kichaa ukaweka pilipili mwendokasi!

Kwanini kichwa kisiume?
images (23).jpeg
images (22).jpeg
 
Wakuu salama?
Na dawa ya NIMRCAF nimenunua asee hii dawa ni kiboko sana, nje na kuponya mafua pia inasaisaidia kule 6x6 kwa bed yani nakula mzigo bila kutoa wazungu.

Dawa hii inamchanganyiko wa Tangawizi, kotunguu swaumu, kitunguu maji, limao na pilipili. Dawa hii sahvi ni adimu inapatikana kwa connection na ipanda bei daily. View attachment 1698567
Haya vijana mmepata mbadala wa VIAGRA, hamtafia tena Guest kwa kuzidiwa na VIAGRA
 
Kwanini ukanunue dawa inatengenezwa kilocal hivyo kuforge ni rahisi wakati mchanganyiko unaujua mimi najitengenezea mwenyewe sema toka nimeanza kutumia wiki ya pili sasa asubuhi na jioni.
Faida
1. Napata choo kizuri
2. Mwili unasawa sana huisi kuchoka
3. Nacheuwa sana nadikiri kuondoa gas tumboni
4. Huwa nokinywa bia zabaridi kesho yake lazima nipate flue au daliki za tonsil baada ya kuumia hii hiyo hali imekata

Side Effect zake
1.Mwanzoni kichwa kilikuwa kinauma saa moja baada ya kunywa sasa nakunywa na maji mengi

2. Kukojóa mara kwa mara hasa usiku
Hapo kuna tangawizi, kitunguu maji, ndimu, pilipili na nini mkuu
 
Mshabadili matumizi tayari.
Inaonekana tatizo la vijana wetu kutokujiamini kunako 6x6 ni kubwa kuliko tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. We mtu anakunywa dawa ya corona, huku kichwani anawaza aka test kuona kama wazungu watatoka mapema au la..!😁 Wakichelewa kidogo basi amesha conclude kwamba ni ile dawa imemsaidia anaanza kutangaza kila mahali.

Wazungu kuwahi au kuchelewa inachangiwa na vitu vingi ikiwepo frequency ya kufanya mapenzi. We kama unataka kujua kama dawa inasaidia ama la, jifungie mwezi mzima ukinywa hiyo dawa bila kutiana. Siku ukitoka kamata demu mkali uone kama hujatolea wazungu mapajani kabla hata hujaingiza mashine kwenye papuchi.
 
how much na maeneo gani, maana koo haliko vyema
Pharmacy zote kwa sasa inapatikana sasa, Mimi nimenunua 25,000
Ila serikali ilitoa ingredients kwa wasioweza afford kujitengenezea home, u can check it,
Pharmacy’s zote dawa zinapatikana
 
Hiyo dawa sh ngapi?
Buku 10 kwa NIMR, sema unapiga foleni si ajabu ukajipata unapata corona kwenye mstari...

Huko mitaani hata 25k wapo watu wanaziuza, si ajabu ikifika mkoa watauza hadi 30k...
 
Back
Top Bottom