Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Ahsante SanaBuku 10 kwa NIMR, sema unapiga foleni si ajabu ukajipata unapata corona kwenye mstari...
Huko mitaani hata 25k wapo watu wanaziuza, si ajabu ikifika mkoa watauza hadi 30k...
Ahsante SanaBuku 10 kwa NIMR, sema unapiga foleni si ajabu ukajipata unapata corona kwenye mstari...
Huko mitaani hata 25k wapo watu wanaziuza, si ajabu ikifika mkoa watauza hadi 30k...
Wadanganye wengine unatangaza biashara kitoto sana badili mbinu
sent from HUAWEI

Wakuu salama?
Na dawa ya NIMRCAF nimenunua asee hii dawa ni kiboko sana, nje na kuponya mafua pia inasaisaidia kule 6x6 kwa bed yani nakula mzigo bila kutoa wazungu.
Dawa hii inamchanganyiko wa Tangawizi, kotunguu swaumu, kitunguu maji, limao na pilipili. Dawa hii sahvi ni adimu inapatikana kwa connection na ipanda bei daily.View attachment 1698567
Inaonekana tatizo la vijana wetu kutokujiamini kunako 6x6 ni kubwa kuliko tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. We mtu anakunywa dawa ya corona, huku kichwani anawaza aka test kuona kama wazungu watatoka mapema au la..!Wakichelewa kidogo basi amesha conclude kwamba ni ile dawa imemsaidia anaanza kutangaza kila mahali.
Wazungu kuwahi au kuchelewa inachangiwa na vitu vingi ikiwepo frequency ya kufanya mapenzi. We kama unataka kujua kama dawa inasaidia ama la, jifungie mwezi mzima ukinywa hiyo dawa bila kutiana. Siku ukitoka kamata demu mkali uone kama hujatolea wazungu mapajani kabla hata hujaingiza mashine kwenye papuchi.

Nilicheki Muhimbil ni 15000Pharmacy zote kwa sasa inapatikana sasa,Mimi nimenunua 25,000
Ila serikali ilitoa ingredients kwa wasioweza afford kujitengenezea home,u can check it,
Pharmacy’s zote dawa zinapatikana
Hii ndio tunaita low IQ.Nilinunua hiyo nimcaf zaidi ya mwezi mitatu iliopita sijaifungua had sasa. sijui km bado itakuwa nzima. sikuiweka kwene friji.
da mimi nikitumia pilipili na limao miguu inawaka moto balaa hi dawa inawenyewe mkuuTangawizi
Kitunguu maji
Kitunguu saumu
Ndimu
Pilipili
Mkuu.. sorry.. mi nna swali kidogo..Kwanini ukanunue dawa inatengenezwa kilocal hivyo kuforge ni rahisi wakati mchanganyiko unaujua mimi najitengenezea mwenyewe sema toka nimeanza kutumia wiki ya pili sasa asubuhi na jioni.
Faida
1. Napata choo kizuri
2. Mwili unasawa sana huisi kuchoka
3. Nacheuwa sana nadikiri kuondoa gas tumboni
4. Huwa nikinywa bia za baridi kesho yake lazima nipate flue au dalili za tonsil baada ya kuumia hii hiyo hali imekata
Side Effect zake
1.Mwanzoni kichwa kilikuwa kinauma saa moja baada ya kunywa sasa nakunywa na maji mengi
2. Kukojóa mara kwa mara hasa usiku
Yaani akili za vijana wengi zimeathilika na mawazo ya ngono tu.......yaani lila kitu kinatazamwa kwenye mlengo wa kingono ngono......
1. Unaweka kwa fridge, unaweza kuipasha kidigo ukanywa kama imepoa hasa kwa watotoMkuu.. sorry.. mi nna swali kidogo..
Mama watoto alitengeneza kulingana na yale maelezo ya NIMR... Sasa swali langu:
1. Dosage yake ni kijiko kimoja kimoja kwa wakati ulioamriwa, sasa kwa lita moja hadi kuisha ni ishu, Je hai expire kweli!?
2. Mbona mkuu naona wewe kama unakunywa glass nzima.. is it not over dose kweli!?
Hii dawa niliinywa halhamisi nikaanza kuumwa usiku huo huo hadi leo.Wakuu salama?
Na dawa ya NIMRCAF nimenunua asee hii dawa ni kiboko sana, nje na kuponya mafua pia inasaisaidia kule 6x6 kwa bed yani nakula mzigo bila kutoa wazungu.
Dawa hii inamchanganyiko wa Tangawizi, kotunguu swaumu, kitunguu maji, limao na pilipili. Dawa hii sahvi ni adimu inapatikana kwa connection na ipanda bei daily.View attachment 1698567