Mzigo wa NIMR ni kiboko

Mzigo wa NIMR ni kiboko

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,491
Wakuu salama?
Na dawa ya NIMRCAF nimenunua asee hii dawa ni kiboko sana, nje na kuponya mafua pia inasaisaidia kule 6x6 kwa bed yani nakula mzigo bila kutoa wazungu.

Dawa hii inamchanganyiko wa Tangawizi, kotunguu swaumu, kitunguu maji, limao na pilipili. Dawa hii sahvi ni adimu inapatikana kwa connection na ipanda bei daily.
IMG_9762.jpg
 
Wakuu salama?
Na dawa ya NIMRCAF nimenunua asee hii dawa ni kiboko sana, nje na kuponya mafua pia inasaisaidia kule 6x6 kwa bed yani nakula mzigo bila kutoa wazungu.

Dawa hii inamchanganyiko wa Tangawizi, kotunguu swaumu, kitunguu maji, limao na pilipili. Dawa hii sahvi ni adimu inapatikana kwa connection na ipanda bei daily. View attachment 1698567
Duuh! Kwa hiyo kupata nimricaf ni ngumu kama kupata Bitcoin?
 
Back
Top Bottom