Mzenjiberi ndani ya nyumba

Mzenjiberi

Member
May 30, 2012
25
3
Habari wana JF nimeingia Mzenjiberi katika ukumbi wenu. Nimeona niingie kushiriki katika mijadala hasa ya siasa kwa sababu naona mambo mnayojadili yananigusa sana , zipo hoja za msingi lakini zipo PUMBA za kutosha pia. Nami sasa nimengia ulingoni. Mimi ni muumini wa JAMUHURI YA WATU WA ZANZIBAR, naomba hili niliweke wazi mapema sana.
Nina ndoto ya kuiona Zanzibar Huru katika jumiuia ya Afrika Mashariki kama itakavyokua Tanganyika, Kenya ,Rwanda,
Burundi n.k. Kama Sudan ya Kusini wameweza kujitenga kwa nini sisi tushindwe?
 
Vipi mkuu mara baada ya kuvunja muungano utakuwa kundi gani kati ya haya? Mzanzibara au mzanzibari?? au wewe utakuwa mpemba?
 
Back
Top Bottom