<br />Mzee Mtei hutoa maoni tu kwa viongozi waliopo si kupiga kampeni kama Mh Mkapa! Alisema aachwe apumzike baada ya kazi nzito ya kuongoza nchi tena alitetewa sana Mh Rais kuwa aachwe apumzike! igunga anafanya nini?
Huyu mzee anasumbuliwa na uroho wa viposho anavyolipwa na chama cha magamba. Huwezi kumtofautisha na Mwita anayeshinda na kulala kwenye keyboard ili Nape amstili kwa chochote aweze kuishi Dar.Kustaafu sihasa haimaanishi kwamba hawezi kutoa mchango pale inapohitajika. Mbona nyie mnamtumiaga Mtei mkimhitaji. Mwacheni Mkapa awatoe jasho, si ndiyo mlivyotaka.
<br />Rais mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa maneno yake mwenyewe alisema amestaafu siasa kabisa! Uwepo wake Igunga una justification gani kwa mzee huyu tunae mheshimu? Kwanini sasa asijibu kashfa zinazomuhusu?
Rais mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa maneno yake mwenyewe alisema amestaafu siasa kabisa! epo wake Igunga una justification gani kwa mzee huyu tunae mheshimu? Kwanini sasa asijibu kashfa zinazomuhusu?
No, hujamuelewa mkuu,Unamheshim kwa MEREMETA,EPA,ANBEN,RADAR,AU KUWAGAWIA WAZUNGU MIGODI??????