Mzee wetu Mkapa ulistaafu siasa,nini kimekutokea tena?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,640
33,421
Rais mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa maneno yake mwenyewe alisema amestaafu siasa kabisa! Uwepo wake Igunga una justification gani kwa mzee huyu tunae mheshimu? Kwanini sasa asijibu kashfa zinazomuhusu?
 
Kustaafu sihasa haimaanishi kwamba hawezi kutoa mchango pale inapohitajika. Mbona nyie mnamtumiaga Mtei mkimhitaji. Mwacheni Mkapa awatoe jasho, si ndiyo mlivyotaka.
 
Mzee Mtei hutoa maoni tu kwa viongozi waliopo si kupiga kampeni kama Mh Mkapa! Alisema aachwe apumzike baada ya kazi nzito ya kuongoza nchi tena alitetewa sana Mh Rais kuwa aachwe apumzike! igunga anafanya nini?
 
<br />
<br />
Kwahiyo wewe unamwonea huruma Mkapa kuliko yeye mwenyewe anavyojionea huruma?
 
Kustaafu sihasa haimaanishi kwamba hawezi kutoa mchango pale inapohitajika. Mbona nyie mnamtumiaga Mtei mkimhitaji. Mwacheni Mkapa awatoe jasho, si ndiyo mlivyotaka.
Huyu mzee anasumbuliwa na uroho wa viposho anavyolipwa na chama cha magamba. Huwezi kumtofautisha na Mwita anayeshinda na kulala kwenye keyboard ili Nape amstili kwa chochote aweze kuishi Dar.
 
Ukiyavulia maji nguo sharti uyaoge,tunataka ajibu tuhuma zake,hiyo ndio siasa aliyoirudia mwenyewe huko igunga,asichague cha kuhojiwa!
 
Unamheshim kwa MEREMETA,EPA,ANBEN,RADAR,AU KUWAGAWIA WAZUNGU MIGODI??????
Rais mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa maneno yake mwenyewe alisema amestaafu siasa kabisa! Uwepo wake Igunga una justification gani kwa mzee huyu tunae mheshimu? Kwanini sasa asijibu kashfa zinazomuhusu?
<br />
<br />
 
Mwacheni Mwita akili yake si sawa kwani anaweza kuwa hajavaa nguo ukamwambia ndugu yangu hujavaa akasema unakichaa
 
Piusi msekwa alitangaza hatogombea uspika pale muda wake uliupoisha. But kwa mshangao wa wengi ushauli wa mkewe anna abdalha akarudi tena kilingeni . Matekeo yake lile zee liliangukia pua
 
Mwacheni Mzee wetu amekuja kuchukua aibu yake ili aongozane nayo ameona inakaa mbali nae
Rais mstaafu Mh Benjamin Mkapa kwa maneno yake mwenyewe alisema amestaafu siasa kabisa! epo wake Igunga una justification gani kwa mzee huyu tunae mheshimu? Kwanini sasa asijibu kashfa zinazomuhusu?
 
Kwa wale wasiojua Falsafa ya siasa, "siasa ni utaratibu wa kila siku wa maisha ya mwanadamu", kama Mkapa ameshakufa basi amefanyakosa kuonekana ktk majukwaa ya siasa kama yupo hai basi ni haki yake.
 
nafikiri watanzania tunapuuzia sana vitu,kama tungekuwa tunahoji kwa nguvu kauli na matendo ya hawa viongozi wasingetugeuza wajinga
 
Nani anahoji kauli za Rostam na yeye kuwa igunga sasa? Lawama kubwa kwa wanahabari wetu wanaomezwa na matukio tu bila kupekuwa na historia.
 
ndio maana sishangai wanaosema Lowassa atakuwa Rais wa nchi hii.namna hii very possible!
 
...tunapotaka apelekwe mahakaman ajibu tuhuma zake za ufisadi alizofanya akiwamadarakan,wanasema mwachen mzee Mkapa apumzike,unapotokea uchaguzi wanampandisha jukwaan.Inamaana ananguvu za kusimama jukwaan kutetea chama chake lakin hana nguvu za kusimama mahakaman kujibu tuhuma zake?!...hopo ndo nashidwa kuelewa na nnasikia....kichefu,kizunguzungu yaan-sielewi,ngoja niache-kuchangia hii mada nisije nkalia kama Pinda.
 
Unamheshim kwa MEREMETA,EPA,ANBEN,RADAR,AU KUWAGAWIA WAZUNGU MIGODI??????
No, hujamuelewa mkuu,
Wala hata hamuheshimu kwa hayo,
Bali anamuheshimu kwa EPTL, KAGODA, TICTS, KIWIRA, Misamaha mbalimbali ya Kodi n.k.
 
Back
Top Bottom