Nime soma Comment hii ya Mzee wetu kipenzi Mengi "I congratulate President JP Magufuli for walking his talk.In so doing he becomes one of very few world leaders you can trust"
Sikuona ubaya Kwa mfanyabiashara huyu mzalendo kupongeza Juhudi za Raisi kutetea Mali za Taifa.
Ila pale anapo pongeza Kwa kusimamia maneno yake na kwamba atakuwa Kati ya Viongozi wachache duniani wanao aminika. Nafikiri na Kuanza kuogopa kidogo, mtazamo huu.
Kuna hatari nyingine za Mtu kusimamia anacho kiongea hasa Kwa kuwa si marazote atakuwa sahihi. Tunachotaka Kwa kiongozi wetu, Kufikiri na Kujifunza kujua ni zipi Hatua Sahihi na kisha kuonyesha Ujasiri katika Utekelezaji.
Hata "Raisi wetu Mtukufu wa CHADEMA" tunamtuma kutafuta kuyajua yapi Maslahi Mahususi ya Chamachetu na kuyatekeleza, na si kusimamia maneno yake. Na ndiomana inapo lazimu "Hubadili Gia Angani" kwa Maslahi ya Chama na hata ya Taifa.
Hatari zilizopo katika kusimamia maneno ni Kupiuza ushauri, Kuwa dikteta au dicteta uchwara, kuingiza watu katika hasara kubwa, kuwa na mafanikio finyu, kuminya Demokrasia na Uhuru wa mawazo, kuua ubunifu n.k
Nimestushwa Sana napongezi ya Mzee wetu Kwa Maneno haya hata baada ya kusikia maneno hatari kama, Sijaribiwi:: Wakishughulikiwa Bungeni Wakija huku nako Tutawashughulikia:: Pigeni mbizi:: Iposiku Lori litakosea njia na kuingia ndani watahama wenyewe::: Anaye ficha Sukari hata fanya Biashara Tz Maisha:: Ukikamata Gari mwendokasi Chomoa Matairi n.k
Tunahitaji kweli Viongozi wenye kuthubutu ila kwa Tafakari na Mashauriano.