Mzee wetu Mengi usizeeke ukachoka kufikiri, vijana wako bado tunakutegemea

Thinktz01

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
272
250
Nime soma Comment hii ya Mzee wetu kipenzi Mengi "I congratulate President JP Magufuli for walking his talk.In so doing he becomes one of very few world leaders you can trust"

Sikuona ubaya Kwa mfanyabiashara huyu mzalendo kupongeza Juhudi za Raisi kutetea Mali za Taifa.

Ila pale anapo pongeza Kwa kusimamia maneno yake na kwamba atakuwa Kati ya Viongozi wachache duniani wanao aminika. Nafikiri na Kuanza kuogopa kidogo, mtazamo huu.

Kuna hatari nyingine za Mtu kusimamia anacho kiongea hasa Kwa kuwa si marazote atakuwa sahihi. Tunachotaka Kwa kiongozi wetu, Kufikiri na Kujifunza kujua ni zipi Hatua Sahihi na kisha kuonyesha Ujasiri katika Utekelezaji.

Hata "Raisi wetu Mtukufu wa CHADEMA" tunamtuma kutafuta kuyajua yapi Maslahi Mahususi ya Chamachetu na kuyatekeleza, na si kusimamia maneno yake. Na ndiomana inapo lazimu "Hubadili Gia Angani" kwa Maslahi ya Chama na hata ya Taifa.

Hatari zilizopo katika kusimamia maneno ni Kupiuza ushauri, Kuwa dikteta au dicteta uchwara, kuingiza watu katika hasara kubwa, kuwa na mafanikio finyu, kuminya Demokrasia na Uhuru wa mawazo, kuua ubunifu n.k

Nimestushwa Sana napongezi ya Mzee wetu Kwa Maneno haya hata baada ya kusikia maneno hatari kama, Sijaribiwi:: Wakishughulikiwa Bungeni Wakija huku nako Tutawashughulikia:: Pigeni mbizi:: Iposiku Lori litakosea njia na kuingia ndani watahama wenyewe::: Anaye ficha Sukari hata fanya Biashara Tz Maisha:: Ukikamata Gari mwendokasi Chomoa Matairi n.k

Tunahitaji kweli Viongozi wenye kuthubutu ila kwa Tafakari na Mashauriano.
 
Manbad

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
1,187
2,000
Kama ndivyo basi hata mitume woooote wasingelipingwa. Tusimshambulie kwenye udhaifu tu ila kwenye uthubutu tumpongeze. Mengi ni miongoni mwa watanzania wachache walio jitoa muhanga kupigania mali zetu. Alitukanwa, alibezwa, alitishiwa nk hakukata tamaa. Leo anapo ona Magufuli anafanya haya nafsi yake inafarijka. Hao watu walimpa Lowassa mpunga wa kampeni alinde maslahi yao hawakumpenda kabsa Magu. Bigup Magu.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,937

Tatizo lako unataka kuyasikia yanayokupendeza wewe tu,hili ndio tatizo kubwa la vijana wa bawacha kama wewe,mnapenda tu kusikia Tundu Lissu anayopayuka,wakiongea wengine mnawafungulia thread.
Hivi wewe na DKT.Mengi nani ana kauli nzito amabayo inaweza hata kutikisa nchi akiamua?
Yaani wewe una mponda Dkt Mengi huku unategemea ujira wa buku tatu na kikombe cha uji jioni ufipa ,atakusikiliza nani?
 
Tatizo Una Zungumzia na Kutazama Uzuri na Ubaya wa Mtu, hapa hatupo kwenye kampeni.

Elewa dhana, Kwa kutumia Fikra Pevu.

Tatizo si kumsifu mtu, Tunajadili dhana ya "Kusimamia Maneno"

Tumezoea kuelewa vitu vyepesi na nikwasababu tumezoea kukariri (kumeza) mashuleni. Think Tanzania.
 
chinembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
5,678
2,000
Tunamkumbushia mzee mengi pia,makampuni yake yalikopa sana NBC miaka ile,yalilipa?

Pia kuna kampuni inaitwa NICOL,anahusika kushawishi watanzania wanunue hisa huko,na wakanunua kweli,lakini imekufa na hela za watu!
 
Thinktz01

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
272
250
Mkuu Nina wasi wasi na utimamu Wa akili yako Hasa wakati ukiandika Uzi huu.

Nakataa kuamini kuwa hujashawishika kuandika uozo huu.
Utimamu wa Akili hupimwa Kwa Uwezo wa Fikra "IQ" iliyopo kwenye andiko na ya Msomaji, if one is average and the other is too high or too low, will not be normal to the Other, here you may not understanding because is under capacity or of high intelligence.
 
Thinktz01

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
272
250
Mkuu Nina wasi wasi na utimamu Wa akili yako Hasa wakati ukiandika Uzi huu.

Nakataa kuamini kuwa hujashawishika kuandika uozo huu.
Kwa wasiwasi wa kushawishiwa, nikutoe wasiwasi, hujui CV yangu, so nipime Kwa maandishi yangu na si Kwa ulinganishi namimi kwakuwa hunijui vyema.
 
Yamakagashi

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
8,647
2,000
Kwani unafikiria yeye anataka kukatiwa mboga zake kama walivyo fanya kwa Mbowe au kuhamishwa NHC ilipokuwa Billcanas?
 
Thinktz01

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
272
250
Nakubaliana na jamaa fulani namnukuu alivyosema: kujiunga jf lazima tu attach majibu ya daktari bingwa wa akili
Najua kazi ngumu ya kuwakomboa wa Tanzania kifikra, na lazima tutaifanya, hasa CCM walio zoea kulishwa na kubaki kupiga walizo ziita propaganda.
 
Thinktz01

JF-Expert Member
Feb 24, 2014
272
250
Tatizo lako unataka kuyasikia yanayokupendeza wewe tu,hili ndio tatizo kubwa la vijana wa bawacha kama wewe,mnapenda tu kusikia Tundu Lissu anayopayuka,wakiongea wengine mnawafungulia thread.
Hivi wewe na DKT.Mengi nani ana kauli nzito amabayo inaweza hata kutikisa nchi akiamua?
Yaani wewe una mponda Dkt Mengi huku unategemea ujira wa buku tatu na kikombe cha uji jioni ufipa ,atakusikiliza nani?
Kwanza kabisa, tambua wanao tetea Chama Kwa Ujira tena wa buku kadhaa ni CCM, angalia Bajeti ya Chama utagundua.

Pili unajua kwanini utafiti wa Twaweza, hata pamoja na mapungufu yake wanasema CHADEMA inakubalika zaidi Kwa wasomi?

Tatu katika maneno mengi huja Zungumzia hoja Tajwa, unasema habari ya watu. Eti wewe na Mengi "Nonsense".

Nne. Kumkosoa mtu si kitu kibaya hata maramoja, labda Kwa wajinga. Na nimeeleza ninavyo Muheshimu, na pia Kuheshim mchango wa Raisi, Ila nimekosoa Mtazamo ninao uona niwa hatari.

Nikuombe tena, wewe na Watanzania wenzangu, tusome na kutafakari, tutaweza hata kuzielewa Akili za Liso zilizo mbali nasi kama mbigu na Dunia. Tatizo tukisoma tunasomea Ajira.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom