mzee wenger!!!!!

mzee wenger!!!!!

Beso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
216
Reaction score
59
huyu mzee anamatatizo si kidogo!!!!!!

funny-pictures-on-arsenal’s-transfer-policy-09.jpg,funny-pictures-on-arsenal’s-transfer-policy-05-456x308.jpg
 
kasomea uchumi huyo anauza mbuzi 70,000 halafu ananunua kamba ya 60,000 sijui hiyo kamba anamfungia nani wakati mbuzi ameshauza
 
Ametuzingua vyakutosha huyu babu asepe zake sasa.Jana liva wanatutoa jasho champions league inaweza ikawa hadithi
 
lazima babu anapata kitu kidogo kwenye dili la kuuza wachezaji na kwenye kununua hapati kitu ndio anashindwa kununua
 
Sipendi Washabiki ambao hawajui nini kinaendelea huko Ofisini. Huyu Mzee anaangushwa na OWNER wa timu kwa sababu hawampi hela.

Ukisikia kufanya kazi kwenye mazingira magumu basi ndiyo huku. Siku akiondoka na Arsenal ishuke daraja ndiyo mtakuja kumkumbuka na kumpa heshima ila tayari itakuwa too late. Jifunzeni kupekuwa ukweli na si kulalama tu.
 
hajatokea mtu wa kumnunua Wenger?
yule tajiri wa kimarekani anaangalia hela tu anaeza hata kuuza timu sababu mkwanja uingie hapo ndio tatizo la Arsenal
 
Sipendi Washabiki ambao hawajui nini kinaendelea huko Ofisini. Huyu Mzee anaangushwa na OWNER wa timu kwa sababu hawampi hela.

Ukisikia kufanya kazi kwenye mazingira magumu basi ndiyo huku. Siku akiondoka na Arsenal ishuke daraja ndiyo mtakuja kumkumbuka na kumpa heshima ila tayari itakuwa too late. Jifunzeni kupekuwa ukweli na si kulalama tu.

kinachoudhi kwa huyu mzee ni kuwa mnafiki!siku zote anadai pesa ya kusajiri ipo lakini hajaona mtu au haoni haja ya kufanya hivyo!hata pale mwanahisa ambae sio board member(usmanov)alipomtetea kuwa board inamwangusha kwa kutompa sapoti alikuja juu na kudai kila kitu kipo sawa.sasa ni kutetea kibarua au nini sijui.
Ni wazi majority shareholder(kraonke)yupo pale kuvuna kpato sio vikombe!!!
 
Kwani UONGO? Pesa ipo ila kiasi gani? Halafu unafikiri atakuja na kusema tatizo ni OWNER?

Kwani Mkuu una miaka mingapi hadi jambo la kitoto namna hii kutokulifahamu? Wenger angelikuwa chini ya Waarabu wenye PESA ndefu, angelikuwa na wachezaji wazuri sana. Sasa hivi wenzake wanasubiri na wakiona ananyemelea mchezaji fulani, basi wanaenda kumnunua maana wanajua Babu ana PUA KUBWA. Babu anabaki kusubiri MASALIA kama akina Podolski ambao hakuna anayemtaka.

Kwa hiyo tuendelee kuwa na pressure tu !
 
kasomea uchumi huyo anauza mbuzi 70,000 halafu ananunua kamba ya 60,000 sijui hiyo kamba anamfungia nani wakati mbuzi ameshauza

Arsene Wenger bonge la kocha. Sisi wana Arsenal damu, bado tunamuhitaji na tutapenda kuona akiongezewa mkataba wa muda mrefu baada ya muda wake kuisha hiyo 2014. Wana arsenal ni kama familia, tunavumiliana kwa shida na raha.. IN ARSENE WE TRUST
 
Mkuu, nivigumu kujua. Tatizo jamaa ni Mfanya biashara zaidi na si mpenzi wa Mpira. Boss wa Chelsea ndiyo mpenzi wa mpira yule ingawa pia ni mfanya biashara. Nasikia anataka kuuza Share zake, huyu Stan Kroenke basi labda akiuza, wanaweza kuja watu wenye mapenzi kweli na wakaweka hela bora na siyo Bora hela kwa kununua wachezaji.
Kwa hiyo tuendelee kuwa na pressure tu !
 
Mkuu, nivigumu kujua. Tatizo jamaa ni Mfanya biashara zaidi na si mpenzi wa Mpira. Boss wa Chelsea ndiyo mpenzi wa mpira yule ingawa pia ni mfanya biashara. Nasikia anataka kuuza Share zake, huyu Stan Kroenke basi labda akiuza, wanaweza kuja watu wenye mapenzi kweli na wakaweka hela bora na siyo Bora hela kwa kununua wachezaji.

Natuombe hivyo tumechoka kusemwa !
 
Shida yetu tunadhani Arsenal inamilikiwa na washabiki. Timu ina mwenye nayo na sisi ni wapiga mdomo tu. Kumlaumu Wenger ni kukosea na nataka niwahakikishie, Arsenal ya Kroenke bila Wenger itashuka daraja.

Wenger ndio kocha pekee aliyeweza ku - strive katika mazingira yale ya kuwa na mmiliki asiyejua kitu kuhusu soka. Stan Kroenke ndio adui yangu namba moja.

Real Madrid imeandaa fungu kubwa kumnyakua Arsene Wenger mwisho wa msimu, kama mnadhani hajui mnajidanganya. Kununua sio ndio mwisho wa mpira, yule pale Torres kanunuliwa £50m lkn SIFURI.
 
Kwa hiyo tuendelee kuwa na pressure tu !

Hiyo ni uamuzi wako tu ndugu. Unaweza kuepuka pressure kwa kubadilisha timu unayoishabikia na kujiunga na timu yenye mikakati ya ushindi kama MAN - U au Barcelona. Haya maisha yenyewe mafupi ndugu yangu kwa nini ujiongezee magonjwa ya pressure kwa timu ambazo wala si za kitanzania?
 
Arsene Wenger bonge la kocha. Sisi wana Arsenal damu, bado tunamuhitaji na tutapenda kuona akiongezewa mkataba wa muda mrefu baada ya muda wake kuisha hiyo 2014. Wana arsenal ni kama familia, tunavumiliana kwa shida na raha.. IN ARSENE WE TRUST

Hivi mnazungumzia ile aseno alokuwa anacheza Henry na Vieira au hii ni ingine manake sijawasikia siku nyingi, kwani wanacheza ligi gani siku hizi ati?
 
Bongo hakuna kabisa mashabiki wa kweli wa Arsenal...huko Kenya timu yenu ikifungwa wenzenu huwa wanajiua...
 
Mkuu asigwa kumbe wewe ni mfuasi wa mzee Wenger?
Duuh, kazi mnayo..kwani mlimfanyaje Wenger? Zamani alikuwa anachukua makombe lakini ghafla akaanza kuwazingua!!
 
Back
Top Bottom