mzee wenger!!!!!

mzee wenger!!!!!

Mkuu watu 8 unataka asigwa afuate mfano wa watu wa Kenya?
 
dah yaani huyu mzee kanifanya najuta kuifahamu arsenali aisee...yaani kila siku kichapo tuu........

Mi mwenzio nimekonda, coz arsenal ipo kwny damu na vichapo ndio kila kukicha lol!
 
Sipendi Washabiki ambao hawajui nini kinaendelea huko Ofisini. Huyu Mzee anaangushwa na OWNER wa timu kwa sababu hawampi hela.

Ukisikia kufanya kazi kwenye mazingira magumu basi ndiyo huku. Siku akiondoka na Arsenal ishuke daraja ndiyo mtakuja kumkumbuka na kumpa heshima ila tayari itakuwa too late. Jifunzeni kupekuwa ukweli na si kulalama tu.
sure,.. hawampi hela ya kutosha kununua wachezaji vile vile hawatoi mishahara mizuri, eti kisa wanalipa deni la uwanja wa emirates. Nadhan utakubaliana na mimi kuwa huwa anawataka wachezaji kibao tu, but he fails on personal terms. wakubwa hawataki kutoa mishahara mizuri.
 
Tangu mmeanza kuingiza fedha zetu bila mpangilio maalumu kwenye soka ndio mlipoanza kuiua arsenal,ndio hapo UEFA ikaweka sheria ya matumizi maana club zitakazokuwa na fedha kiasi hazitaweza ushindani na matokeo yake ndio haya ya kukaa muda mrefu bila makombe na matatizo ya club ya Malaga ya Hispania !
 
Hivi mnazungumzia ile aseno alokuwa anacheza Henry na Vieira au hii ni ingine manake sijawasikia siku nyingi, kwani wanacheza ligi gani siku hizi ati?
tunazungumzia arsenal inayoshiriki premier league, FA na uefa champions league. we ar going through a hard time, ila siku moja yataisha tu. mbona man u ilishuka daraja 1975 na saa wanafanya vizuri! mbona chelsea ilikaa over 50 years bila kombe, man city miak mingi tu saivwapo on fire!
 
tunazungumzia arsenal inayoshiriki premier league, FA na uefa champions league. we ar going through a hard time, ila siku moja yataisha tu. mbona man u ilishuka daraja 1975 na saa wanafanya vizuri! mbona chelsea ilikaa over 50 years bila kombe, man city miak mingi tu saivwapo on fire!
Tatizo watu wanafikiri arsenal ina vikosi viwili vyenye wachezaji kama club za Manchester,chelsea na hata Tottenham,Liverpool zimewekeza kwenye timu zao kuishinda arsenal !
 
Back
Top Bottom