Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
... Warioba alifikiri baada ya Mwinyi angefuata yeye Ikulu!
Lakini hila zote alizofanya hazikuzaa matunda!

MUACHENI AENDELEE KUWEWESEKA!
 
CCM huwa wanaua ... sema tu wanakufukuza wakishindwa kukuua.
 
... Warioba alifikiri baada ya Mwinyi angefuata yeye Ikulu!
Lakini hila zote alizofanya hazikuzaa matunda!

MUACHENI AENDELEE KUWEWESEKA!
Mwl. Nyerere ndiye aliyempendekeza William Mkapa kuwa mgombe na kumuacha Warioba. Nyerere alikuwa anamjua vilivyo Warioba kuwa maarifa yake sio mengi kwenye Urais wa nchi. Pia alikuwa anajua watu wangemfikiria vibaya kumpendekeza Warioba ambae wanatoka Mkoa mmoja.
 
Mimi hapa ninaamini kuwa mtu hawezi kutekwa kama hana sababu ya kutekwa. Nchi haiwezi kuingia gharama ya kuwa na majeshi mengi kama JWTZ, JKT, Uhamiaji, Polisi, Usalama wa taifa, zimamoto, na mgambo kama hakuna watu wa ndani na nje ya nchi wanaostahili kuuliwa, kutekwa, kupelelezwa, kukamatwa, kukaguliwa, kufungwa jela, au kulindwa uhai na mali zao. Usiingizwe kwenye mtego wa kuambiwa kila anaetekwa, anauliwa, anapekuliwa, anaekamatwa au kufungiwa anachofanya ni mtu mwema aliyeonewa na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Ni ujinga mtupu kuwaza hivyo na hakuna dola duniani inalindwa namna hiyo.

Kama watu wangekuwa wanatekwa tu kiholela basi hata mimi na wewe zamu yetu ya kutekwa ingeshatufikia siku nyingi zilizopita. Timiza wajibu wako kwanza kabla haki haijatamalaki kwako.
Huenda zamu yetu bado haijafika, ikifika hutopata tena huo ujasiri wa kuandika haya. Tushukuru sisi bado tunahema.
 
Mwl. Nyerere ndiye aliyempendekeza William Mkapa kuwa mgombe na kumuacha Warioba. Nyerere alikuwa anamjua vilivyo Warioba kuwa maarifa yake sio mengi kwenye Urais wa nchi. Pia alikuwa anajua watu wangemfikiria vibaya kumpendekeza Warioba ambae wanatoka Mkoa mmoja.
Maarifa mengi yanafananaje?
 
Umfukuze Warioba? Hata Nchimbi ni suala la Mda atarudishiwa uanachama wake tu
Uko sahihi; kufukuzwa kwa Nchimbi ni mtego uleule unaowanasaga wapinzani kila uchaguzi mkuu ukikaribia. Sidhani kama wapinzani wameshaisahau ile mitego ya CCM ya Mrema, Marando, Lowassa, Dr. Slaa, Membe, Sumaye Lipumba na Mpina. Wametegewa mtego mwingine matata sana wa Nchimbi; lazima watauvaa tu.

Sifa ya CCM ni kuwa na viongozi ambao ni makada na wazalendo kwelikweli. Huwezi kuupata uongozi ndani ya CCM na serikalini kwa bahati mbaya tu. Kwa maana nyingine viongozi wa CCM hakuna lofa.
 
Huenda zamu yetu bado haijafika, ikifika hutopata tena huo ujasiri wa kuandika haya. Tushukuru sisi bado tunahema.
Siamini kama kuikosoa serikali kuwa hamjafanya lolote hapa na pale kunasababishwa mtu atekwe. Lakini siamini kama mtu anepanga kwenda kulipua kambi ya jeshi au Ikulu au bwawa, anaetembea na mke wa rafiki yake, aliyewadhulumu wenzake fedha za dili walilofanya pamoja au kutoa siri mbaya ya mtu hastahili kutekwa. Na huwezi kuniaminisha kuwa Tz hakuna watu wa aina hiyo wanaostahili kutekwa.

Baba (RIP) alikuwa ana msemo wake anasema "wanaostahili kuawa ni wengi ila wanakosa watu wa kuwaua "
 
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
Ni mwanaccm hai,je vipi mabalozi nao ni wanaccm hai?
 
Zigo la kuhudumia wastaafu linatwikwa Rais aliyeko madarakani. Rais analazimika kuhudumia wananchi pamoja na wastaafu. Kazi ya kuhudumia wastaafu inakuwa ngumu sana pale ambapo kazi ya kuhudumia wananchi inatatizwa na ukosefu wa fedha. Yaani fedha ya kununua madawati ya wanafunzi unaikata na kuielekeza kwenye kuhudumia wastaafu. Na kazi inakuwa ngumu sana pale unapowahudumia wastaafu wanaokukwamisha kwenye mipango ya maendeleo. Hii ni sawa na mama kulibeba mgongoni toto linalomng'ata shingoni.
 
Mtajua sasa mnahangaishwa na mtu ambae sio mwanaCCM mwenzenu. Mzee Warioba hajui kama malipo yake ya kustaafu yanatengemea amani, utulivu na uzalishaji mkubwa kiuchumi wa serikali. Anadhani fedha anazolipwa zinaanguka tu kutoka mbinguni. Kwani Warioba hajui kama yeye ni miongoni mwa mizigo ya serikali na wananchi kumtunza? Hajui vurugu zile zimeiingiza hasara kubwa serikali ya kuzuia na kukarabati miundombinu iliyochomwa?

Mimi nina uhakika kuwa yeye alikuwa miongoni mwa wanaCCM waliokuwa wanafahamu kama nchi inakwenda kuchomwa siku ya uchaguzi.
Sawa kwaiyo analipwa kwa fadhila au utaratibu na sheria inasema hivyo mkuu?
 
Mafao ni pesa na pesa ni uchumi na uchumi ni amani na utulivu. Suku ya vurugu shughuli zote za kiuchumi na kijamii zilizimwa. Vurugu ambazo Warioba hakuzilaani wala hakusikitika kuchomwa kwa vyanzo vya kodi. Atalipwa mamvi yake? Hatuna mjomba wa kutupa fedha, hivyo fedha zote lazima tuzitafute sisi wenyewe kisha ndio tulipane. Angekuwa mm ningejenga hoja ya kuacha kumhudumia . Kama viwanda vyote vilisumama nchi nzima mafao yake yanatoka wapi? Walinzi wake watalipwa nini?

Mstaafu anakula kodi zetu lazima awe na adabu

Kutunza viongozi wastaafu ni zigo analotwishwa Rais aliyeko madarakani na wananchi. Mstaafu lazima asaidie kuleta utulivu kwa Rais.
 
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
Wee mlevi unayetukana watu ukilewa,kamalize kesi yako kwanza,CCM ina watu wa ajabu sana
 
Mafao ni pesa na pesa ni uchumi na uchumi ni amani na utulivu. Suku ya vurugu shughuli zote za kiuchumi na kijamii zilizimwa. Vurugu ambazo Warioba hakuzilaani wala hakusikitika kuchomwa kwa vyanzo vya kodi. Atalipwa mamvi yake? Hatuna mjomba wa kutupa fedha, hivyo fedha zote lazima tuzitafute sisi wenyewe kisha ndio tulipane. Angekuwa mm ningejenga hoja ya kuacha kumhudumia . Kama viwanda vyote vilisumama nchi nzima mafao yake yanatoka wapi? Walinzi wake watalipwa nini?

Mstaafu anakula kodi zetu lazima awe na adabu

Kutunza viongozi wastaafu ni zigo analotwishwa Rais aliyeko madarakani na wananchi. Mstaafu lazima asaidie kuleta utulivu kwa Rais.
Anakula kodi za saa100? Au za nani?
 
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote
Hakuna haja ya kumfukuza Mzee Warioba CCM kwasababu kwa sasa yupo kwenye museum!
 
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
 
Attachments

  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 0
Anakula kodi za saa100? Au za nani?
Mzee mbaya sana yule. Alikuwa hapendi muungano wa serikali mbili tangu wakati wa Nyerere lakini alikuwa anaogopa kumwambia Nyerere. Alisubiri hadi Nyerere alipokufa ndio akaanza kudindisha kwa marais waliofuata, hasa marais waislamu.
 
Back
Top Bottom