Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
Mtafukuza kila brain na kubaki na elimu mbalimbali😂
 
Brain ni Warioba kaka? Ni mtu muoga vibaya sana. Kwetu ukishindana na kubishana na mwanake jamii itakuhoji uanaume wako. Hata JPM aliwahi kusema kati ya hotuba zake kuwa kama ukishandana na mwanamke utashindwa wewe tu. Dunia nzima itamtetea na wewe mwanaume utaonekana mtu dhaifu sana usioheshimu wanawake.

Warioba alipaswa kumlinda, kumuongoza na kumsaidia Samia ili amalize kipindi chache salama kisha tufanye tathimini kuhusu wanawake kuwa Marais, hasi na chanya zake. Hee!! Mzee kavaa njuga kumkosesha raha binti wa watu aliyepeperushwa na Katiba katika Urais. Katiba ambayo watanganyika tuliiandika sisi wenyewe kwa mikono yetu.
 
Hata wakati wa Magufuli huyu mzee.alikua anaongea Boss
 
Mtu toka TANU uko unaulizia kama ni mwana CCM hai? UVCCM mnavutaga bangi za wapi? Ayo mafao yake anayolipwa si yapo kikatiba acheni bangi
 
Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.
Kumbe haya ni muhimu sana kuliko kuua mtu?
Maana Watu walikufa sanaaa
 
Mtajua sasa mnahangaishwa na mtu ambae sio mwanaCCM mwenzenu. Mzee Warioba hajui kama malipo yake ya kustaafu yanatengemea amani, utulivu na uzalishaji mkubwa kiuchumi wa serikali. Anadhani fedha anazolipwa zinaanguka tu kutoka mbinguni. Kwani Warioba hajui kama yeye ni miongoni mwa mizigo ya serikali na wananchi kumtunza? Hajui vurugu zile zimeiingiza hasara kubwa serikali ya kuzuia na kukarabati miundombinu iliyochomwa?

Mimi nina uhakika kuwa yeye alikuwa miongoni mwa wanaCCM waliokuwa wanafahamu kama nchi inakwenda kuchomwa siku ya uchaguzi.
yaani wewe ni wale machawa mbumbumbu kabisa! wasijue wasiojulikana na hao usalama wa taifa aende akajue Warioba? hata hoja zako zote zinajengwa kwenye msingi wa chuki eti kwa sababu tu Warioba anaongea ukweli ambao uko kinyume na mama yenu. hoja ya serikali 3 sio ya warioba ni ya maoni ya watanzania ambao waliyatoa kwake.
 
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.

Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?

Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya nchini, yeye ni kukosoa, kukosoa, kukosoa, kubeza, kubeza, kubeza tu huku akisubiri kulipwa mafao yake ya kustaafu hadi kufa. Sijui anadhani hayo mafao anayolipwa kila siku yanapatikanaje bila yeye kuchangia kuyaweka mazingira bora ya uzalishaji na ukusanyaji kodi.

Mzee Warioba hajalaani matukio na wale wote waliochoma moto mali ya umma na miundombinu ya uzalishaji na ukusanyaji kodi kama barabara, vituo vya mafuta, malori ya biashara, ATM, TRA vinavyozalisha fedha inayotumika kupata fedha ya kulipa mafao yake ya kustaafu.

Mzee Warioba sasa hivi yuko karibu sana na chadema kuliko CCM, yuko karibu sana na mwenyekiti wa chadema kuliko mwenyekiti wa CCM.

Kwanini chama cha mapinduzi hakimjadili mwanachama kama huyu? Hii double standard inatokana na nini?. Kama Nchimbi kakosea kwanini Warioba hakosei?

Ni heri kuwa na pengo kuliko kuwa na jino bovu linalokuuma muda wote.
Unakuta na mama yake huyu anajiitaga mzaa chema
 
Hata wakati wa Magufuli huyu mzee.alikua anaongea Boss
Rais JPM aliwataka wazee watulie kama walivyotulia wazee wenzao akina Mwinyi, Pinda, Kikwete, Malecela, nk. Wazee wenye kamdomo alikuwa anawaitwa wanaowashwawashwa. Mzee warioba angefanya hivi kwa JPM hali yake ingekuwa tete.

Mzee Warioba kwa umri wake na nafasi alizowahi kushika nchini angeweza kabisa kuepusha kile kilichotokea kwa akina Polepole, Lissu na Oct29. Alichochea badala ya kupunguza moto. Wahuni wenye kesho nyingi na maslahi ya muda mfupi na kati walimtumia vibaya.

Angekuwa JPM angeshamuondolea walinzi wote.
 
yaani wewe ni wale machawa mbumbumbu kabisa! wasijue wasiojulikana na hao usalama wa taifa aende akajue Warioba? hata hoja zako zote zinajengwa kwenye msingi wa chuki eti kwa sababu tu Warioba anaongea ukweli ambao uko kinyume na mama yenu. hoja ya serikali 3 sio ya warioba ni ya maoni ya watanzania ambao waliyatoa kwake.
Mama yuko sahihi kwa kila kitu kwa mujibu wa Katiba. Amezunguukwa na watu wengi wanaostahili kutekwa. Watu ambao hawakutaka aapishwe awe Rais, watu ambao hawakutaka agombee 2025, watu ambao hawakutaka uchaguzi ufanyike na watu ambao hawataki atekeleze ilani kwa kumkosesha fedha na utulivu.
 
Back
Top Bottom