All TRUTH
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 5,453
- 2,564
Mzee katiba yako ipo wapi??!!!Akizungumza kwenye kipindi cha Dakika 45 ITV, makamu wa kwanza wa Rais na waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba amesema taifa limeanza kurudi kwenye matabaka ya Waheshimiwa na Makabwela.
Amesema waheshimiwa zamani waliitwa Wa Benz
Au matabaka ya Raizoni na Kandambili
Jaji Warioba amesema hata Elimu kwa sasa haiangalii tena Uwezo na Uadilifu bali cheti.
Kipindi kitarushwa saa 3.00 usiku.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!