Mzee Warioba ana hoja au viroja?

Mzee Warioba ana hoja au viroja?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,247
Reaction score
16,169
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.

Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa nchi za mashariki kwenda kwenye mrengo wa ubepari wa nchi za magharibi. Hapendi tena demokrasia za China, Urusi, Cuba, Hungary na Korea Kaskazini bali anataka demokrasia za Magharibi sawa na akina Lissu na Kambona Oscar.

Mwaka 1977 wakati katiba hii inaandikwa yeye alikuwa wapi?

Wakati Nyerere anaitumia Katiba hii ya kijamaa na yeye kuwa Waziri Mkuu hakuiona hii Katiba?

Nyerere na Warioba walikuwepo wakati Rais Mwinyi na Mkapa wanatumia katiba hii mbona wote hawakushauri iandikwe katiba mpya ili kuingiza hayo anayotaka yawemo kenye Katiba?

Warioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.

Rais Magufuli alitamka wazi kuwa hataandika katiba mpya kwakuwa hakuahidi kuandika Katiba mpya wakati wa kampeni zake za urais, alimfanya nini?.

Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeacha kuandika Katiba mpya kama vile walivyoshindwa/walivyoacha kuiandika akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguli. Sababu kubwa zilizowafanya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuacha kuandika katiba mpya ni moja tu, nayo ni hofu ya kuuvunja Muungano. Mama Samia asiipuuze hofu hii pia, ni kubwa na ipo dhahiri. Huyu Warioba tofauti na Nyerere, yeye anataka serikali tatu. Aliogopa kumshauri Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini sasa anaona kuwa ni rahisi sana kwa Samia.

Aogopwe kama ukoma.
 
Vyovyote vile, acha demokrasia ifanye kazi yake
 
Walioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.

Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72) sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
CHIEF PRIEST
CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
2 minutes ago
New
Add bookmark
#2
Quinine said:

Click to expand...
Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani, huyu kifo chake kitakuwa cha mateso makali sana.
Kinoamiguu
Kinoamiguu
JF-Expert Member
2 minutes ago
New
Add bookmark
#3
aliyeyandaa majeshi kwa ajili ya uchaguzi wa kiraia
anayakanya majeshi yasijihusishe na siasa za kiraia
HAYA NI MAAJABU YA DUNIA YA NCHI INAYOONEWA WIVU NA MATAIFA MAKUBWA JAPO HAINA HATA MAJI YA KUNYWA
MO29D9
JF-Expert Member
A moment ago
New
Add bookmark
#4
Hii nchi haitakuja kuwa Sawa tena......ila nuru i karibu

Write your reply...

Post reply
Attach files

Insert quotes…
Similar Discussions
Doctor Mama Amon
Swali kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba: Kuna Tatizo Gani Serikalini Hadi Tunashindwa Kuiambia Dunia Taarifa za Vifo na Majeruhi wa Mwezi Moja Uliopita?
Started by Doctor Mama Amon Nov 24, 2025 Replies: 5
Jukwaa la Siasa
PendoLyimo
Dkt. Biteko: Tunaweza kuzuia asilimia 80 ya vifo nchini tukibadili mtindo wa maisha
Started by PendoLyimo Jul 27, 2025 Replies: 2
Jukwaa la Siasa
Nyani Ngabu
First Post Africa: Tanzania yatupa kwa siri miili ya raia waliofariki kwenye maandamano ya kupinga Uchaguzi
Started by Nyani Ngabu Nov 5, 2025 Replies: 39
Jukwaa la Siasa
figganigga
Ushahidi wa watu 11 Walioongoza Mauaji ya 29 Oktoba 2025 Nchini Tanzania Umepatikana. Waliua watu ELFU 10
Started by figganigga Nov 18, 2025 Replies: 80
Jukwaa la Siasa
Teknolojia ni Yetu sote
Dunia nzima itakuwa giza kwa dakika 6 siku ya tarehe 2 Agosti 2025

Wa kuogopa kama ukoma ni Samia na genge lake, Sio Warioba
 
wewe ni zumbukuku hujui kipindi cha Nyerere kulikuwa na chama kimoja, Sasaivi hii katiba haifai sababu tumeshatoka kwenye chama kimoja.
 
Acha upotosha usio na tija. Warioba alikuwa mwenyekiti wa tume ya kukusanya maoni ya wananchi, na alicholeta ni maoni ya wananchi na sio mtazamo wake. Ifahamike katiba si utashi wa viongozi, bali ni matakwa ya wananchi.

Kama muungano wananchi hawautaki huo ndio uhalisia. Vinginevyo toeni sababu za msingi za uwepo wake kwa wananchi, na sio viongozi kushurutisha uwepo wakati una mapungufu ya wazi, tena yasiyotatuliwa.
 
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.

Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa nchi za mashariki kwenda kwenye mrengo wa ubepari wa nchi za magharibi. Hapendi tena demokrasia za China, Urusi, Cuba, Hungary na Korea Kaskazini bali anataka demokrasia za Magharibi sawa na akina Lissu na Kambona Oscar.

Mwaka 1977 wakati katiba hii inaandikwa yeye alikuwa wapi?

Wakati Nyerere anaitumia Katiba hii ya kijamaa na yeye kuwa Waziri Mkuu hakuiona hii Katiba?

Nyerere na Warioba walikuwepo wakati Rais Mwinyi na Mkapa wanatumia katiba hii mbona wote hawakushauri iandikwe katiba mpya ili kuingiza hayo anayotaka yawemo kenye Katiba?

Walioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.

Rais Magufuli alitamka wazi kuwa hataandika katiba mpya kwakuwa hakuahidi kuandika Katiba mpya wakati wa kampeni zake za urais, alimfanya nini?.

Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeacha kuandika Katiba mpya kama vile walivyoshindwa/walivyoacha kuiandika akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguli. Sababu kubwa zilizowafanya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuacha kuandika katiba mpya ni moja tu, nayo ni hofu ya kuuvunja Muungano. Mama Samia asiipuuze hofu hii pia, ni kubwa na ipo dhahiri. Huyu Warioba tofauti na Nyerere, yeye anataka serikali tatu. Aliogopa kumshauri Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini sasa anaona kuwa ni rahisi sana kwa Samia.

Aogopwe kama ukoma.
Hamchoki kubadirisha mabwana:
1995 -2005 ulikuwa CUF
2005 - 2015 Ukarudi CCM
2015 - 2021 Ukarudi CUF na baadaye ACT
2021 - Umerudi CCM
 
Wewe jiite ni mpumba.vu wa kiwango cha pekee ulimwenguni kwa kuwa umekosa akili halafu hata ile kujua kuwa huna akili ya kutosha hata kufikia kiwango cha chini cha akili ya mwanadamu wa akili ya kawaida, nayo umeikosa.

1. Hujui hata katiba ya nchi inaandikwaje! Unafikiri katiba inaandikwa kama hii riwaya upuuzi ulioiweka hapa. Warioba pekee anaawezaje kuandika katiba?

2. Huna hata akili ya kumbukumbu. Ungekuwa na akili ya kukumbuka, ungefahamu kuwa mwalimu Nyerere alitamka kuwa katiba ya Tanzania inamfanya Rais kuwa dikteta, inategemea zaidi hekima ya Rais aliyepo. Akasema kuwa ikitokea nchi ikampata Rais asiye na busara, wananchi watajuta kwani kwa katiba iliyopo hakuna namna ya kumdhibiti Rais huyo asiye na busara. Na hili watanzania wanalishuhudia sasa. Kama Nyerere alisema hivyo, ulitaka yeye ndiye achukue kalamu aanze kuandika?
 
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.

Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa nchi za mashariki kwenda kwenye mrengo wa ubepari wa nchi za magharibi. Hapendi tena demokrasia za China, Urusi, Cuba, Hungary na Korea Kaskazini bali anataka demokrasia za Magharibi sawa na akina Lissu na Kambona Oscar.

Mwaka 1977 wakati katiba hii inaandikwa yeye alikuwa wapi?

Wakati Nyerere anaitumia Katiba hii ya kijamaa na yeye kuwa Waziri Mkuu hakuiona hii Katiba?

Nyerere na Warioba walikuwepo wakati Rais Mwinyi na Mkapa wanatumia katiba hii mbona wote hawakushauri iandikwe katiba mpya ili kuingiza hayo anayotaka yawemo kenye Katiba?

Walioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.

Rais Magufuli alitamka wazi kuwa hataandika katiba mpya kwakuwa hakuahidi kuandika Katiba mpya wakati wa kampeni zake za urais, alimfanya nini?.

Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeacha kuandika Katiba mpya kama vile walivyoshindwa/walivyoacha kuiandika akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguli. Sababu kubwa zilizowafanya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuacha kuandika katiba mpya ni moja tu, nayo ni hofu ya kuuvunja Muungano. Mama Samia asiipuuze hofu hii pia, ni kubwa na ipo dhahiri. Huyu Warioba tofauti na Nyerere, yeye anataka serikali tatu. Aliogopa kumshauri Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini sasa anaona kuwa ni rahisi sana kwa Samia.

Aogopwe kama ukoma.
Naona wewe ndio huyo hapo mlangoni wakati huo Daudi Albert Bashite (DAB) kwa sasa hivi anatembelea majina ya fojari km Paulo Christian Makonda kashampiga kofi Mzee Warioba na kuzuiwa asifanye hivyo na wana usalama wewe ulikua mlango hapo unawahi umtie mangumi...
460d1635680a56656d6cf60da6b69d89.jpg
 
Mimi sioni kosa la Mzee Warioba! Nachoona aliitwa Ikulu na Samia,na asingekataa Wito. Hakujipeleka Ikulu.
Kwa hiyo kupiga picha Ikulu haimaanishi amekuwa Msaliti.
Bahati nzuri walichozungumza Ikulu hakijaelezwa wala hatujasikia matamko yake ya kuiunga mkono Serikali.
Sasa hivi Serikali inachofanya ni kujiosha mbele ya wananchi na jumuia ya kimaifa ili ionekane kuna Amani licha ya Mauaji yaliyotokea kuanzia okt29.
Jamani mwacheni Mzee na Heshima yake.
 
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.

Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa nchi za mashariki kwenda kwenye mrengo wa ubepari wa nchi za magharibi. Hapendi tena demokrasia za China, Urusi, Cuba, Hungary na Korea Kaskazini bali anataka demokrasia za Magharibi sawa na akina Lissu na Kambona Oscar.

Mwaka 1977 wakati katiba hii inaandikwa yeye alikuwa wapi?

Wakati Nyerere anaitumia Katiba hii ya kijamaa na yeye kuwa Waziri Mkuu hakuiona hii Katiba?

Nyerere na Warioba walikuwepo wakati Rais Mwinyi na Mkapa wanatumia katiba hii mbona wote hawakushauri iandikwe katiba mpya ili kuingiza hayo anayotaka yawemo kenye Katiba?

Warioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.

Rais Magufuli alitamka wazi kuwa hataandika katiba mpya kwakuwa hakuahidi kuandika Katiba mpya wakati wa kampeni zake za urais, alimfanya nini?.

Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeacha kuandika Katiba mpya kama vile walivyoshindwa/walivyoacha kuiandika akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguli. Sababu kubwa zilizowafanya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuacha kuandika katiba mpya ni moja tu, nayo ni hofu ya kuuvunja Muungano. Mama Samia asiipuuze hofu hii pia, ni kubwa na ipo dhahiri. Huyu Warioba tofauti na Nyerere, yeye anataka serikali tatu. Aliogopa kumshauri Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini sasa anaona kuwa ni rahisi sana kwa Samia.

Aogopwe kama ukoma.
Kipindi cha Mwinyi hayati Francis Nyalali alitoa andiko na pendekezo gani kuhusu tume ya uchaguzi?
Kila kitu kinabadilika lazima uende na wakati pumbavu
 
WARIOBA NI MZALENDO , SAMIA NI MZALENDO. TUHESHIMU VIONGOZI HAWA
 
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72) sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
CHIEF PRIEST
CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
2 minutes ago
New
Add bookmark
#2
Quinine said:
Ukitoa bomu la Hiroshima lililoua watu 70,000 instantly, vifo vilivyotokea Tanzania siku ya uchaguzi 2025 vimeingia kwenye historia ya dunia kwa watu wengi kuuawa na polisi kwa kipindi kifupi.

Inakadiliwa tarehe 29/10/2025 watu 10,000 waliuawa ndani ya siku 3 (masaa 72) sawa na watu 138 waliuawa kwa saa 1, sawa na watu wawili kwa dakika.

Hii ni rekodi ya dunia kuuawa watu wengi wasio vitani kwa kipindi kifupi.
Click to expand...
Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani, huyu kifo chake kitakuwa cha mateso makali sana.
Kinoamiguu
Kinoamiguu
JF-Expert Member
2 minutes ago
New
Add bookmark
#3
aliyeyandaa majeshi kwa ajili ya uchaguzi wa kiraia
anayakanya majeshi yasijihusishe na siasa za kiraia
HAYA NI MAAJABU YA DUNIA YA NCHI INAYOONEWA WIVU NA MATAIFA MAKUBWA JAPO HAINA HATA MAJI YA KUNYWA
MO29D9
JF-Expert Member
A moment ago
New
Add bookmark
#4
Hii nchi haitakuja kuwa Sawa tena......ila nuru i karibu

Write your reply...

Post reply
Attach files

Insert quotes…
Similar Discussions
Doctor Mama Amon
Swali kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba: Kuna Tatizo Gani Serikalini Hadi Tunashindwa Kuiambia Dunia Taarifa za Vifo na Majeruhi wa Mwezi Moja Uliopita?
Started by Doctor Mama Amon Nov 24, 2025 Replies: 5
Jukwaa la Siasa
PendoLyimo
Dkt. Biteko: Tunaweza kuzuia asilimia 80 ya vifo nchini tukibadili mtindo wa maisha
Started by PendoLyimo Jul 27, 2025 Replies: 2
Jukwaa la Siasa
Nyani Ngabu
First Post Africa: Tanzania yatupa kwa siri miili ya raia waliofariki kwenye maandamano ya kupinga Uchaguzi
Started by Nyani Ngabu Nov 5, 2025 Replies: 39
Jukwaa la Siasa
figganigga
Ushahidi wa watu 11 Walioongoza Mauaji ya 29 Oktoba 2025 Nchini Tanzania Umepatikana. Waliua watu ELFU 10
Started by figganigga Nov 18, 2025 Replies: 80
Jukwaa la Siasa
Teknolojia ni Yetu sote
Dunia nzima itakuwa giza kwa dakika 6 siku ya tarehe 2 Agosti 2025

Wa kuogopa kama ukoma ni Samia na genge lake, Sio Warioba
Kama watu waliokufa October 29 basi ni wale walioua polisi na kuchoma miundombinu yetu na mali watu binafsi. Kama umechoma ofisi ya kata na serikali ya mtaa kwanini usife?. Kwanini usife wakati wewe ulitaka kuipindua serikali? Hebu acheni upuuzi wenu huu. Wewe ni nani hadi uchome vituo vya mwendokasi tunavyotumia sisi wanyonge kusafiria jijini kutafuta riziki zetu. Kwanini hasira hizo usizipeleke kwa mama yako umlazimishe akupikie roshoro kwa nguvu?.

Watu wa aina hii huwa wanauawa duniani kote. Hebu nenda kamrushie jiwe askari wa Marekani uone kama utakuwa hai. Tz hakuna mazuzu kama Kenya. Kule Kenya wenye akili safi wote wamenyakuliwa hawapo, ni manamba (cheap labors) huko Ulaya na uarabuni.
 
Mzee Warioba mimi namuona kama Mzee mnafiki mkubwa anaetaka kurekebisha makosa yake kupitia Samia, Rais mwanamke mzanzibari. Kuna wakati namuona kama mzee ambae watu fulani wanamtumia vibaya kutaka kufanikisha agenda zao.

Mzee Warioba anaonekana amepiga U-turn kutoka kwenye mrengo wa Ujamaa wa nchi za mashariki kwenda kwenye mrengo wa ubepari wa nchi za magharibi. Hapendi tena demokrasia za China, Urusi, Cuba, Hungary na Korea Kaskazini bali anataka demokrasia za Magharibi sawa na akina Lissu na Kambona Oscar.

Mwaka 1977 wakati katiba hii inaandikwa yeye alikuwa wapi?

Wakati Nyerere anaitumia Katiba hii ya kijamaa na yeye kuwa Waziri Mkuu hakuiona hii Katiba?

Nyerere na Warioba walikuwepo wakati Rais Mwinyi na Mkapa wanatumia katiba hii mbona wote hawakushauri iandikwe katiba mpya ili kuingiza hayo anayotaka yawemo kenye Katiba?

Warioba alikuwepo wakati wa utawala wa Kikwete na Magufuli mbona hakuwalazimisha waandike Katiba mpya?.

Rais Magufuli alitamka wazi kuwa hataandika katiba mpya kwakuwa hakuahidi kuandika Katiba mpya wakati wa kampeni zake za urais, alimfanya nini?.

Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeacha kuandika Katiba mpya kama vile walivyoshindwa/walivyoacha kuiandika akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Maguli. Sababu kubwa zilizowafanya Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuacha kuandika katiba mpya ni moja tu, nayo ni hofu ya kuuvunja Muungano. Mama Samia asiipuuze hofu hii pia, ni kubwa na ipo dhahiri. Huyu Warioba tofauti na Nyerere, yeye anataka serikali tatu. Aliogopa kumshauri Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini sasa anaona kuwa ni rahisi sana kwa Samia.

Aogopwe kama ukoma.
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Back
Top Bottom