Mzee wangu alishapima DNA kwangu ya kiasili na ile ya kisasa. Pimeni DNA acheni upuuzi

Ifike mahali tuishi kwa upendo. Kwa mtindo huu tutashindwa hats kuishi na yatima...
Hapana, yatima anajulikana si mtoto wako. Ila kulea mtoto asiye wako ukiwa umefichwa ni upumbavu. HATUJAKATAA KULEA YATIMA, ELEWA MADA.
 
You must be insane, you need serious treatment. Wewe sema tu hujiamini na ndio maana hutaki DNA, unaogopa hicho kisukari na hiyo stroke uliyo nayo usije ukaaga dunia. Na kweli usijaribu, tunakupenda bado. Ila acha wengine tupime.
 
Elewa hoja, suala si kukataa mtoto hapana. Mtoto hana hatia, suala ni kujua kama unalea wako au umepigwa, ukiwa na mashaka kwani watu siku hizi hawana utu tena na si waaminifu. Halafu si kila mtoto asiye wako ukimlea atafanikikiwa na kukusaidia, wangapi waliishia kuwa majambazi na hata kuwapiga baba zao hao wa kufikia? Mfano wako prob. yake ni 1/10000000000000000000!
 
No, haupo sahihi na ndio maana tunasema, au wenye hekima wanasema: 'mtoto azaliwapo anza kutafuta uhalisia kuwa ni wako au si wako, kusubiri mpaka akue na umgharamie, huo ni ujinga na huna wa kumlaumu', ACHA WATU WALEE DAMU ZAO, ITAEPUSHA MENGI.
 
DNA konki.
mtazame mama yako kisha sura ilinganishe na mtoto wako awe wakike au wakiume.
ukiona hakuna hata kimoja kilicholandana timua mtoto na mama mtu.
DNA ya pili.
Lafudhi, tabia zako za utotoni lazima zilandane na za mwanao.
Mmepigwa wengi wenu.
Lafudhi?

Mkuu hapa ndio umefanya hata hizo nyingine nisiziamini. Yani mimi baba yangu awe msukuma halafu nizaliwa umasaini halafu niwe na lafudhi ya baba yangu ya kingosha badala ya kuwa na lafudhi ya kimasai?

Haiwezekani.
 
Kabisa, watu wanatakiwa walee damu zao, na kama wanalea zile zisizo zao basi wajue na si kufichwa!
 
Lafudhi?

Mkuu hapa ndio umefanya hata hizo nyingine nisiziamini. Yani mimi baba yangu awe msukuma halafu nizaliwa umasaini halafu niwe na lafudhi ya baba yangu ya kingosha badala ya kuwa na lafudhi ya kimasai?

Haiwezekani.
Ngoja nikuambie kitu.
Mimi ni mtu wa Lindi ambako nina miaka 11 sijaenda.
Mwanangu P wa miaka 4 na miezi kadhaa hapajui huko kwetu.
Anaongea Kiswahili vizuri ila sometimes M anazifukia na kuweka N huku mimi sizitumii hizo N bila sababu na mama yake ni Mnyakyusa.
Nimeona pia mtoto mmoja wa miaka 8 baba yake ni mmasai. Hamjui baba yake na umasaini hakujui ila kuna vilafudhi na vitabia vya kimasai vinamnyemelea. Huyu hajawahi kukaa na mmasai yeyote maishani mwake
 
Mmhhh hii ni ngumu kumeza asee.
 
...Umeumizwa?....ama Umefungua Zahanati ya DNA?? Mbona una Hasi hivyo Mkuu???
 
Acha baba yako mdogo alimie meno aliyataka mwenyewe
 
Baba yako hakuamini wewe na mama yako ndio maana akaamua kupima DNA hilo sio jambo la kujisifia
Najisifia mno, kwani now mzee ana uhakika mimi ni damu yake na nashukuru Mungu naiona support yake kwangu kama baba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…