Mzee wangu alishapima DNA kwangu ya kiasili na ile ya kisasa. Pimeni DNA acheni upuuzi

Ifike mahali tuishi kwa upendo. Kwa mtindo huu tutashindwa hats kuishi na yatima...
Hapana, yatima anajulikana si mtoto wako. Ila kulea mtoto asiye wako ukiwa umefichwa ni upumbavu. HATUJAKATAA KULEA YATIMA, ELEWA MADA.
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana. Siwezi na sina muda wa kwenda kupima DNA, kama mtoto kanijua akiwa mdogo na nimemulea tangu akiwa tumboni kwa mama yake na mke wangu ni ndoa halali naamini mtoto pia ni halali yangu na hakuna wa kubadilisha hili.

Mzee wangu mdogo aliwahi kufanya haya makosa ya kumkataa mtoto kisa kafanana na jirani yake. Hadi sasa tunavoongea huyu kaka yetu alishabadili uraia na anasaidia ile familia kwa mgongo wa mama yake tu. Ila sehemu kubwa anaishi ni kama hana baba, wala wadogo zake. Na ndo mtoto pekee aliyesoma na kupata mafanikio makubwa.
You must be insane, you need serious treatment. Wewe sema tu hujiamini na ndio maana hutaki DNA, unaogopa hicho kisukari na hiyo stroke uliyo nayo usije ukaaga dunia. Na kweli usijaribu, tunakupenda bado. Ila acha wengine tupime.
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana. Siwezi na sina muda wa kwenda kupima DNA, kama mtoto kanijua akiwa mdogo na nimemulea tangu akiwa tumboni kwa mama yake na mke wangu ni ndoa halali naamini mtoto pia ni halali yangu na hakuna wa kubadilisha hili.

Mzee wangu mdogo aliwahi kufanya haya makosa ya kumkataa mtoto kisa kafanana na jirani yake. Hadi sasa tunavoongea huyu kaka yetu alishabadili uraia na anasaidia ile familia kwa mgongo wa mama yake tu. Ila sehemu kubwa anaishi ni kama hana baba, wala wadogo zake. Na ndo mtoto pekee aliyesoma na kupata mafanikio makubwa.
Elewa hoja, suala si kukataa mtoto hapana. Mtoto hana hatia, suala ni kujua kama unalea wako au umepigwa, ukiwa na mashaka kwani watu siku hizi hawana utu tena na si waaminifu. Halafu si kila mtoto asiye wako ukimlea atafanikikiwa na kukusaidia, wangapi waliishia kuwa majambazi na hata kuwapiga baba zao hao wa kufikia? Mfano wako prob. yake ni 1/10000000000000000000!
 
Majibu ya DNA ya mtoto sio wako.... yanauma sana. Umeshaishi na huyo mama mamiaka kadhaa, watoto wote unaambiwa sio wako nawe umri umeshaenda sana na umepoteza muda na mali zako.. utakufa kwa pressure bureeeee. Yaliyo sirini acheni yabaki sirini, maisha yenyewe yako wapi..... furahia siku zako zilizobaki maadam unaishi kwa raha na amani usifukue makaburi..........

Wenye akili wamenielewa
No, haupo sahihi na ndio maana tunasema, au wenye hekima wanasema: 'mtoto azaliwapo anza kutafuta uhalisia kuwa ni wako au si wako, kusubiri mpaka akue na umgharamie, huo ni ujinga na huna wa kumlaumu', ACHA WATU WALEE DAMU ZAO, ITAEPUSHA MENGI.
 
DNA konki.
mtazame mama yako kisha sura ilinganishe na mtoto wako awe wakike au wakiume.
ukiona hakuna hata kimoja kilicholandana timua mtoto na mama mtu.
DNA ya pili.
Lafudhi, tabia zako za utotoni lazima zilandane na za mwanao.
Mmepigwa wengi wenu.
Lafudhi?

Mkuu hapa ndio umefanya hata hizo nyingine nisiziamini. Yani mimi baba yangu awe msukuma halafu nizaliwa umasaini halafu niwe na lafudhi ya baba yangu ya kingosha badala ya kuwa na lafudhi ya kimasai?

Haiwezekani.
 
Kupima DNA Tanzania is a stupid process

Utajaza wanasheria mpaka matakoni ndio wakupime DNA

Upumbavu mtupu

Na results ni si ya kuamini na ni too political

Hakuna kitu cha kuamini kabisa kwenye linchi la hovyo hivi kila kitu ni politicized..Pia mavifaa mabovu,wataalamu wenyewe wabovu,etc

Heri utumie international companies kama 23andme au ancestry,etc
Kabisa, watu wanatakiwa walee damu zao, na kama wanalea zile zisizo zao basi wajue na si kufichwa!
 
Lafudhi?

Mkuu hapa ndio umefanya hata hizo nyingine nisiziamini. Yani mimi baba yangu awe msukuma halafu nizaliwa umasaini halafu niwe na lafudhi ya baba yangu ya kingosha badala ya kuwa na lafudhi ya kimasai?

Haiwezekani.
Ngoja nikuambie kitu.
Mimi ni mtu wa Lindi ambako nina miaka 11 sijaenda.
Mwanangu P wa miaka 4 na miezi kadhaa hapajui huko kwetu.
Anaongea Kiswahili vizuri ila sometimes M anazifukia na kuweka N huku mimi sizitumii hizo N bila sababu na mama yake ni Mnyakyusa.
Nimeona pia mtoto mmoja wa miaka 8 baba yake ni mmasai. Hamjui baba yake na umasaini hakujui ila kuna vilafudhi na vitabia vya kimasai vinamnyemelea. Huyu hajawahi kukaa na mmasai yeyote maishani mwake
 
Mmhhh hii ni ngumu kumeza asee.
 
Sina haja ya salamu kwa hili. Wanaume! Wanaume! Wanaume! Nimeita mara 3 pimeni DNA, wengi mnalea watoto wasio wenu.

Kwa nini nawaambia mpime DNA? Kwa sababu ya kuepuka utata na ugomvi ikiwa utatangulia kufa, ugomvi utazuka kuhusu mgawanyo wa mali baina na familia yako.

Watu wengi wanashangaa tabia mbovu za watoto wao ila hawajui kuwa muda mwingi si watoto wao halisi. Tuache upumbavu na kujitia wema sana, tupime DNA tusilete kuaminiana kwenye kila kitu. Eti kitanda hakizai haramu, what a f*ck sayin'?

Familia yako ina uwezekano mkubwa wa kupoteza direction na kuangamia kwa kulea damu isiyo yako, MWENYE UHALALI WA KUTUMIA PESA YAKO KAMA BABA NI MWANAO WA DAMU NA SI YULE ASIYE DAMU YAKO ALIYEKULA DILI NA MAMA YAKE WAKUTAPELIII.

Nawasilisha jitokezeni kwa wingi mpime DNA achaneni na kauli za kitanda hakizai haramu mtakwishaaa.

Huyo mtoto akikua ni lazima mama yake amtonye tu kuwa baba yako si huyu, na katika mgao wa mali anapigiwa chapuo na mama yake anakula mgao na akiwa wa kiume ndio basi tena. Baadaye anaoneshwa baba yake wa kweli, wewe unabaki unajitilisha huruma tu.

Tuache ujinga, tupime DNA ili tujue mbivu na mbichi, PIMENI DNA.

Leo hii matatizo mengi yanayotokea katika familia ni madhara ya kulea watoto waso wahusika kwa kuogopa DNA. WATOTO WAKO HALISI WATANYANYASIKA NA WATOTO WASIO WAKO ukiwa upo au haupo.

Utakuja kufilisiwa na kuutajirisha ukoo mwingine kwa urithi wako ukidhani nk mwanao kumbe sio wako, pima DNA!!!

DUNIA IMEBADILIKA MAMBO YAMEBADILIKA, TUACHE UBISHI NA MABISHANO YASIYO NA TIJA TUPIME DNA!!?
...Umeumizwa?....ama Umefungua Zahanati ya DNA?? Mbona una Hasi hivyo Mkuu???
 
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana. Siwezi na sina muda wa kwenda kupima DNA, kama mtoto kanijua akiwa mdogo na nimemulea tangu akiwa tumboni kwa mama yake na mke wangu ni ndoa halali naamini mtoto pia ni halali yangu na hakuna wa kubadilisha hili.

Mzee wangu mdogo aliwahi kufanya haya makosa ya kumkataa mtoto kisa kafanana na jirani yake. Hadi sasa tunavoongea huyu kaka yetu alishabadili uraia na anasaidia ile familia kwa mgongo wa mama yake tu. Ila sehemu kubwa anaishi ni kama hana baba, wala wadogo zake. Na ndo mtoto pekee aliyesoma na kupata mafanikio makubwa.
Acha baba yako mdogo alimie meno aliyataka mwenyewe
 
Baba yako hakuamini wewe na mama yako ndio maana akaamua kupima DNA hilo sio jambo la kujisifia
Najisifia mno, kwani now mzee ana uhakika mimi ni damu yake na nashukuru Mungu naiona support yake kwangu kama baba.
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom