Mzee wangu alishapima DNA kwangu ya kiasili na ile ya kisasa. Pimeni DNA acheni upuuzi

Ukitaka kujua ni mwanao au lah....we akizungua mpige vya kutosha.....kama ni mwanao itamchukua muda mfupi kusahau nakuja kudeka kwa baba kama kawaida.....akikuchukia na kuweka kinyongo huyo sio mwanao unaishi na adui ndani..
Ni hivyo tu basi?!!!!
 
Kama mtoto umemlea kwa upendo, ukampa na jina lako la mwisho hata kama si damu yako mzazi wake halisi ana nafasi ndogo sana kulinganisha na ya kwako.

In short huyo baba yake ni looser. Yeye na hawara wake wana chaguo mbili, kufa na siri au kusema kweli wapate aibu ila mtoto hawatampata. Bond ya mzazi hainunuliki.
Fanya vyovyote,Mpe sijui jina,Sijui malezi ya gharama,upendo n.k lakini siku zote damu ni nzito kuliko maji! Kamwe haiwezi kuwatenganisha mtoto na baba yake! Atarudi tu!
 
Fanya vyovyote,Mpe sijui jina,Sijui malezi ya gharama,upendo n.k lakini siku zote damu ni nzito kuliko maji! Kamwe haiwezi kuwatenganisha mtoto na baba yake! Atarudi tu!

Kwa sasa we jidanganye tu. Atataka tu ajue hivi mzazi wangu halisi ni yupi ni popoma hivyo?

Hakuna kijana au binti anayebond na mzazi ukubwani. Atataka akujue tu unafananaje halafu itaishia hapo. Kama umetelekeza nakushauri chukua hatua. LEA MWANAO MWENYEWE.
 
Nasisitiza hata mzazi amfanyie kosa gani mtoto... siku zote DAMU NZITO KULIKO MAJI! ni swala la muda tu.
 
DNA konki.
mtazame mama yako kisha sura ilinganishe na mtoto wako awe wakike au wakiume.
ukiona hakuna hata kimoja kilicholandana timua mtoto na mama mtu.
DNA ya pili.
Lafudhi, tabia zako za utotoni lazima zilandane na za mwanao.
Mmepigwa wengi wenu.
Huu uongo mtupu khaaaah.
 
Nasisitiza hata mzazi amfanyie kosa gani mtoto... siku zote DAMU NZITO KULIKO MAJI! ni swala la muda tu.
Jidanganye na damu nzito🤣 telekeza wanao. Jinga kweli, LEA WATOTO WAKO.

DAMU INGEKUWA NZITO NDUGU WASINGEUANA, WAMAMA WAJINGA WASINGETUPA VICHANGA.

OMBA USHAURI HATA KWA WAZEE WENYE BUSARA KAMA KUNA ATAKAYESAPOTI UPUMBAVU WA KUTELEKEZA MTOTO SABABU DAMU NI NZITO KUWA ATARUDI TU.
 
Waswahili wana kipimo chao ili kujua mtoto ni wako au sio wako!!
Kama mtoto ni wako ukimchapa akiwa kakosea atakimbilia humo humo ndani.
Lakini mtoto akiwa sio wako ukimchapa atakimbilia nje..

Kazi kwenu mlio na hofu na watoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom