Mzee wa Vitisho alitutisha sana kabla ya kuanza kuangalia Bongo Movie

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,552
6,114
Unaukumbuka msemo wake mmoja? Weka hapa tuone. Na kama unamfahamu na bado upo kwenu kwa baba na mama mpaka leo kaka/dada unazingua.


FB_IMG_1623246900156.jpg

 
Sikumbuki vizuri ila nahisi ilikua ni kuhusu kutokununua pirated movies au music VHS.
 
Nakumbuka na kale kaufunguo alikokua anakachezea

Huku akisema adhabu yake ni kifungo cha miaka 5 au faini ya milioni 1 au vyote kwa pamoja

Enzi hizo ukisikia milioni MOJA inaitwa 'shitabalwa' (isiyohesabika).
 
hahha jamaa nakumbuka ndie akienifanya nipate mwanga wa sheria nilipokua shule ya msingi enzi hizo
 
Back
Top Bottom