Mzee wa Upako awatimua waandishi

jamani nimejaribu kumsikiliza huyu mchungaji katika yale anayoyaita mahubiri leo 28/01/2017 ndani ya chanel ten.
Ninachoweza kusema ni hiki; watu wamekaa wakimsikiliza mtu ambaye kwa imani ya kikristo keshakengeuka. Ni mtu ambaye amerudi nyuma na hata yeye mwenyewe alikiri katika soga alizokuwa anapiga kwamba kwa mara ya mwisho mungu alikuwa nae miaka kumi iliyopita.
ila kama kuna mtu anaemuelewa kile anachoongea naomba anieleweshe maana binafsi kupitia mtizamo wa kioo cha biblia simuelewi.
 
Back
Top Bottom