Mzee wa Upako: Ni ngumu kukuta mwanaume hana mchepuko

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,774
Wanawake mumemsikia Pastor?

=====



Mchungaji Anthony Lusekelo almaarufu Mzee wa Upako anasema ni ngumu kukuta mwanaume hana mchepuko na kueleza kuwa kati ya wanaume 100, basi 90 wanayo michepuko.

Ameyasema hayo kupitia Kipindi cha Katikati ya Koko kinachorushwa na Global TV Online.

Video kamili ipo Youtube, Global TV Online.
 
wakristo vichwa vigumu wanajipalia matapishi yao ya kumkaidi Mungu, Ni heri uwe na wake hata watatu kuliko kuzini na michepuko.

Mungu aliruhusu wanaume tuoe wanawake wengi kwasababu ni yeye ndie anajua katuumba vipi wanaume.
 
Iliwasaidia kuondoa pasua kichwa ya wanawake.Thus mapadre hawaruhusiwi kuoa ili wasiharibu kanisa,check haya makanisa ya waoaji yanavyoyumba.
Wanawakataza kuoa hatimaye "wanazini"na kuzini inasemekana imekatazwa kwenye amri za Mungu alafu kuoa imeruhusiwa kwenye amri za kanisa,,sasa wichi izi wichi??Mamaaee Dini!!
 
Back
Top Bottom