Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Ni vigumu kubishana na watu wenye hoja za nguvu badala ya nguvu za hoja.Mbona povu linakutoka au ni wale wale nini.Kwa taarifa yako majengo ya makanisa mengi (lutherani/katoliki) ni mazuri hata huko vijijini.Makanisa ya kina mzee wa upako yako Dar tu ukienda vijijini hawajulikani na ukichunguza kwa makini waumini wa mzee wa upako / kakobe wengi wamechanganyikiwa,wamepoteza dira ya mwelekeo wa maisha,wamekata tamaa.Nina wasiwasi hata wewe ni mmoja wao.
tafadhali rekebisha kauli yako akuna aliyeokoka ambaye amechanganyikiwa pls omba radhi kwa hilo
Ngongo asante sana kwa majibu yako.Heshima kwako Mchukia Ufisadi,
Mkuu wangu labda umeshindwa kunielewa hoja yangu.
Ukiangalia historia ya kanisa kama Lutheran mwanzilishi wake Martin Luther alitofautina na uongozi wa kanisa katoliki,alkuwa na sababu za msingi ambazo hata leo bado zinasimama.Miaka hiyo waumini wa kawaida kanisa katoliki hawa kuwa na access ya kusoma biblia,ni Martin Luther alianza kutafsiri agano jipya kwa kijeruman hiyo ilikuwa mwaka 1522 na baadae alitafsri biblia yote kazi ambayo ilichukua miaka kumi.Kazi aliyofanya Martin Luther ilikuja kusababisha biblia ikapata tafsiri kwa lugha mbali mbali,kama si yeye pengine tungekuwa tunalazimishwa kusoma biblia kwa lugha ya kirumi tu kitu ambacho si kizuri.
Mzee wa upako kamwe hawezi kusimama jukwaa moja na mtu kama Martin Luther ambae wakati wake aliweza kupambana na sheria kali za kanisa ambazo zilikuwa kinyume na mafundisho ya Mungu.Ukifuatilia mafundisho yake channel 10 yamejikita zaidi kuwaokoa watu wenye uwezo,kitu ambacho kwenye biblia hakuna.Sijaona andiko kwenye biblia takatifu mtu alitakiwa kuokolewa au kuombewa baada ya kutoa fedha.Mafundisho ya mzee wa upako pia ni kwaajili ya kuwachukua watu kutoka madhehebu mengine ambao tayari wameshamjua kristo kuwa ni mwokozi wa maisha yao,Mzee wa upako alitakiwa na bado anayo nafasi ya kwenda vijijini ambako wako watu wengi wanaohitaji kumjua kristo.Mzee wa upoko alinishangaza sana alipokuwa anatetea uanzishwaji wa mahakama ya kadhi kupitia kipindi cha Makwaia wa Kuenga [Je tutafika] ndipo nilipomstukia yuko kwaajili ya maslahi binafsi.
Kwa hiyo?Asilimia 99 . wengine ni magonjwa , umaskini, maovu ya zamani n.k
Walokole wengi wamechanganyikiwa ina maana hujui mkuu mbona tumeona mifano kibao au wewe bado ujagudua.nasema wengi wao wamechanganyikiwa ingawa si wote.Nawaomba radhi wale wote ambao hawajachanganyikiwa,waliochanganyikiwa mtanisamehe bado msimamo wangu uko pale pale.
Hivi vikanisa vinavyochomuza uchochoroni vimeanzishwa si kwa ajili ya kueneza neno la Mungu bali ni vitegauchumi vya waanzilishi wake.
Mahubiri yao yanalenga kutafuta pesa na kujinufaisha basi
Inategemea. Nimeona vipo vikanisa vinavyotafuta pesa. Nimeona na vinavyoshughulika na jamii kuiweka sawa na kurudi kwa Mungu.Hivi vikanisa vinavyochomuza uchochoroni vimeanzishwa si kwa ajili ya kueneza neno la Mungu bali ni vitegauchumi vya waanzilishi wake.
Mahubiri yao yanalenga kutafuta pesa na kujinufaisha basi
Good question dear.Na haya yaliyo peupe hayaenezi neno la Mungu kwa sababu hayapati fedha?
Sii busara kabisa kwa mtu kutumia mgongo wa kanisa kutaka heshima kwa watawala wa kisiasa(kaisari). Labda kama ingekuwa dini kusingekuwa na mshangao sana. Kuna tufauti kubwa sana kati ya kanisa na dini. Nini ni organisation(muungano) wenye malengo mchanganyiko ya kimungu na kisiasa pamoja. Kanisa ni wale wlioitwa watoke kibinafsi yaani kuzaliwa upya ktk ufalme wa mbinguni na bila lengo lingine lolote. Sasa ukatoliki, uluteri kama anavyovitaja lusekelo ni organisation na yeye kama anataka kuheshimiwa na watawala aanzishe ya kwake. Haikuwahi kutokea bwana yesu au wanafunzi wake kulalamika kwamba hawaheshimiwi na kaisari ila walisisitiza kama kaisari au watu wa jinsi yake waliowaita mataifa wangetaka uahirika nao ni sharti kwanza wazaliwe upya(okoka). Historia ya kanisa la katoliki inajulikana vizuri. Hili kanisa ndio muungano(dhehebu) la kwanza kujitengeneza nje ya kanisa na malengo yake yalikuwa ni ya kisiasa na kidini kwa pamoja. Siasa iliwachipusha kutoka ukristo hadi kuwa mapagani wenye jina la ukristo. Jambo hili lilipelekea Martin Luther kujitenga na kutoa mapingamizi 95 ya ubaya wa watawala wa dhehebu la katoliki. Nulisema hawa walikuwa na malengo ya kisiasa zaidi na hivyo ilipelekwa bunge llililofanyika ktk mji wa speyer(spires) wakatoliki walikuwa wengi zaidi wakatoa tangazo kwamba yasiwepo mabadiliko ya dini zaidi ktk maeneo ya walutheri, yaani wakatoliki wawe huru kuabudu kikatoliki ktk maeneo ya walutheri lakini wao walutheri wasiwe huru maeneo ya wakatoliki kufanya hivyo. Waluteri waliitikia kanuni hiyo kwa kukataa(protest) matokwo yake walipewa jina la PROTESTANT mwaka 1529. Waluteri wa sasa kujinabisisha jina la luther huku wakiwa tofauti kabisa na luther kimtizamo na kimatendo ni sawa na katoliki kujinabisisha na Kristo wakiwa tofauti kabisa na Kristo mwenyewe. Huu ni unafiki wa kiwango cha juu. Waluteri sawa na Neno la Mungu wanamrudia mama yao katoliki na pia wapentekoste sharti nao warudi kwa mama yao. Na mathihirisho ni kama unavyoona wakililia utambulisho kisiasa sawa na katoliki na Lutheran. Kibaya zaidi kwa wapentekoste wao hawana baba(kiongozi) wanaeitwa kwa jina lake kama walivyo wakatoliki na walutheri. Wao wametawanyika mno kila kakikundi kidogo wanajitambulisha kivyao vyao. Upinzani walioupata walutheri kwa wakatoliki ndio wanaoupata wapentekoste kwa haya madhehebu makubwa. Hivyo kuna kazi kubwa sana kwa kina Lusekelo kuweza kukubaliwa kundini na kupewa heshima za kisiasa kama lutheran nao walivyokubaliwa
Mzee umegonga ikulu ni kweli kabisa wote wamechanganyikiwa na ni watu wavivu na wengine ni mahousegirl wanaoenda kutafuta wachumba kutokana na kauli mbiu yao ya kusema kama unataka mchumba njoo mi...B huyu jamaa atulie aendelee kuwatapeli watu asipende kugusa mambo ya watuMbona povu linakutoka au ni wale wale nini.Kwa taarifa yako majengo ya makanisa mengi (lutherani/katoliki) ni mazuri hata huko vijijini.Makanisa ya kina mzee wa upako yako Dar tu ukienda vijijini hawajulikani na ukichunguza kwa makini waumini wa mzee wa upako / kakobe wengi wamechanganyikiwa,wamepoteza dira ya mwelekeo wa maisha,wamekata tamaa.Nina wasiwasi hata wewe ni mmoja wao.
Kanisa la Gospel Revival Centre linajulikana kwasababu kaamua kutumia channel 10.Juzi juzi nilikuwa natazama kipindi chake anataka tumchangie 100,000/= au zaidi umtajie mambo yako matano akuombee.Kwa maana hiyo basi usipokuwa na hizo 100,000/= hawezi kukuombea kweli siku hizi Yesu kawa biashara nzuri.
hospitali zipo waende huko na si kutapeliwa pesa na wajanja hao ila jamaa wana dhambi hawa hata pesa ya walemavu wanakula kwa kisingizio cha kumtolea mungu!Kwa hiyo?
Please try to find the history.
Lutheran walijitoa kutoka Roman Catholic
Roman Catholic walijitoa(waliliua) kutoka Catholic
Catholic means universal, miaka 1000 baada Tangu Yesu alipoondoka Ulimwenguni kulikuwa na just Christian church, ambalo warumi waliita Catholic.
Fuatilia ili kanisa la umoja(universal) lilipotelea wapi, na nani aliyelipoteza. Usiseme kana kwamba haya makanisa yametokea sayari ya mars au mwezini kunadocumented historical facts
So usiwaite wenzako waasai ndio raha ya kuwa na uhuru wa kuamua, offcourse huo uhuru kwenye biblia haupo! maana tuna Mungu mmoja, ubatizo mmoja, njia moja,injili moja .....
kwa hiyo kama uasi uusemao wewe woote hao ni waasi!!!
teh!teh!teh! mnanifurahisha na hivyo vibomu vyenu na akome kabisa mi niko nao jirani kwa mama hapa hata jina lake hawezi kuliandika!mbayaaHii ni kibiblia kabisa. Mathew 22:37-40. 'You shall love the LORD your God with all your heart, with all your soul, and with all your mind.'
Kina 'mzee wa upako' ikifika kwenye 'mind' wanatoka hola kabisa. Wao ni shandaraba karabako shondororiba.
Jamani eeh siyo roho tu ebo. Mwishoni ndo mnageukaga vibwetere. roho haina akili jamani! Mwanadamu ni roho, anayo nafsi na anaishi katika mwili.
Ndo mana narudia tena nendeni shule. Wengi wenu unakuta darasa la pili unusu lakini eti askofu. DUH!Na kibiblia Askofu maana yake ni mwangalizi sasa utaweza kuwa mwangalizi wa karne hii kweli na darasa lako la pili unusu kasorobo???????????