B Bulesi Platinum Member May 14, 2008 14,211 13,726 Mar 23, 2021 #2 Naona Mzee wa wiki ya nyungu amezinduka!!!!
Father of All JF-Expert Member Feb 26, 2012 6,376 6,720 Mar 23, 2021 #3 Wanaonyesha ni kwa namna gani walivyo woga hadi kuhatarisha maisha yao kwa ulaji wa muda mfupi. Watapukutika kama hawajawahi kuwapo.
Wanaonyesha ni kwa namna gani walivyo woga hadi kuhatarisha maisha yao kwa ulaji wa muda mfupi. Watapukutika kama hawajawahi kuwapo.
Kifurukutu JF-Expert Member Aug 29, 2013 4,502 6,403 Mar 23, 2021 #4 Maigizo yamefika mwisho soon tunaanza kuvaa barakoa
EvilSpirit JF-Expert Member Jun 15, 2017 8,558 12,683 Mar 23, 2021 #5 Kabudi haitaji barakoa macho yake ni kinga tosha
EvilSpirit JF-Expert Member Jun 15, 2017 8,558 12,683 Mar 23, 2021 #6 Cannabis said: View attachment 1732006 Click to expand... Mbona ni kama amevaa kifungashio
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,707 60,765 Mar 23, 2021 #7 Savimbi anakomaa tu kujilundikia virusi
Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Oct 31, 2017 7,621 16,373 Mar 23, 2021 #8 EvilSpirit said: Kabudi haitaji barakoa macho yake ni kinga tosha Click to expand... 😂 😂 😂 😂 😂