Mzee wa 'mipasho'.

Mzee wa 'mipasho'.

orangutan

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
756
Reaction score
775
FB_IMG_1481827293910.jpg
 
Kweli sheria za utabiri wa kifo na arusha ni tofauti kabisa
 
Free Lema,Free Max & Ben back alive.
 
Marehemu Shehe Yahaya angekuwepo wakati huu sijui ingekuwaje? R.I.P
 
Kweli sheria za utabiri wa kifo na arusha ni tofauti kabisa
Usisahau na yule mtoto wa sheikh Yahya anae tabiri nyota, mwaka jana wakati wa kampeni alisema viongozi wengine watafariki. Akasema kuna mmoja ataanguka jukwaani sasa sijui nani alikusudia?[emoji15] Manake mpaka leo hakuna alie anguka.


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Waandishi wana roho za plastic ila faru wetu ni roho ya damu na nyama
 
Osama alipouawa, watu walijitosa mabarabarani huko kushangilia kifo chake. Inakuwaje binadamu mwenye akili timamu anafikia hatua ya kushangilia kifo cha binadamu mwenzake. Go figure !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom