Mzee wa kaya ni mkulima wewe je Mwenzangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee wa kaya ni mkulima wewe je Mwenzangu?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 27, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,995
  Trophy Points: 280
  mzeewakayanimkulimaweweje.jpg Bravo Mzee J.k. Tunapenda Viongozi wawe mfano namna hii hongera.
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Kwani lazima kulima? Na je waliomchagua walimchagua awe mkulima?
   
 3. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,792
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu wa kaya ni bonge la msaniiiii
   
 4. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,111
  Likes Received: 2,347
  Trophy Points: 280
  analima au anakagua shamba?
  maana naona kuna bodyguard nyuma yake!
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,329
  Likes Received: 3,533
  Trophy Points: 280
  Itapendeza kama ardhi anayofugia hakumpora mtu kifisadi. Tunasubiri NANENAE atimize ile ahadi yake ya kupeleka mbuzi wa shambani kwake kushindania mbuzi bora kitaifa
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Hehehe! Analima mkanda nje! Chezeiya kilimo wewe?
  Heko mkuu wa kaya kwa kuwa mfano!
   
 7. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,509
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  JK kwa usanii simuwezi. Hapo anajifanya cowboy kama mshikaji wake Bush
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hicho ndio kilimo cha kisasa baba, kilimo cha kuopinda mgongo kimepitwa na wakati
   
 9. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  . Hiyo picha iliandaliwa kwa ajili ya kampeni. Namjua sana huyu bwana kwa usanii wa staili hii.

  . Hivi amevaa suruali au sketi? Macho yananichanganya kidogo.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,939
  Likes Received: 876
  Trophy Points: 280
  Mi nalima nikiwa nataka kupiga picha
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Shamba gani hapo, unalima mtu amekusimamia makalioni eti anakulinda!...waiii!
   
 12. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Amejaribu kugawa muda wake vizuri. Kama anakagua shamba kuna watu walilima na wakapata ajira. Keep it up jk !!!!
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,212
  Trophy Points: 280
  Hiv ni nani huyo? Mbona naona hay hapo au ni mkata majani ya ng'ombe?
   
 14. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 689
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  msanii tu
   
 15. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,562
  Likes Received: 1,601
  Trophy Points: 280
  mi nafanya kazi jiran na shamba lake, jk analima malisho na kuuza uarabuni, anahela mbaya...wafanyakaz wa serikal wanatumika
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 10,999
  Likes Received: 1,881
  Trophy Points: 280
  Ebu acheni utani jamani, mkulima gani ambaye anakuwa anaulamba shambani?
   
 17. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndo nini hiyo??!!
   
Loading...