Mzee wa Chato: Mimi ni mwanachadema mtiifu kwa chama changu lakini Rais Magufuli anapofanya mazuri lazima tumuunge mkono

Hata nyerere feki anakushangaa
 
HUYO ALIKUWA ANAUZA SURA TU, NA ALITAMKA HIVYO AKITEGEMEA ATAHITWA A MKUU AMPE MKONO, NA PIA CHOCHOTE. NJAA MBAYA.
 
Kama Dunia inavyomuunga mkono Kabugi....Disappeared and died...CCM wenye mapenzi mema pia Muungeni mkono angalau Maiti ya Mwandishi Azory ipatikane
 
Mbona imeshindwa kuua tija hayo mazuri aliyofanya niyapi , ile mipango yenu ya kishamba eti unampanga MTU unajifanya kusimamusha daladala kumbe tukio lilishapangwa ni ushamba wa hali ya juu .
 
Tena anaongea mbele ya mitutu,,...atampinga namba moja?
 
Angepungukiwa na nini angesema tu anaunga mkono juhudi kama Mtanzania?
Kwani hadi aitaje chedema?
 
 
Hata mimi mwenyewe nikikutana naye ana kwa ana nitamsifu na kumpongeza,mbona marehemu siku ya msiba wake huwa anageuka malaika mbele ya waombolezaji wakati kipindi cha uhai wake marehemu huyohuyo alikuwa ni kero kwa waombolezaji, na baada ya mazishi walewale waliokuwa wanamsifia na kumpongeza marehemu wanamshukuru Mungu kwa kuwaondolea kero.
 
Chama sio uadui. Wote tupo kwenye gari moja. Lengo la kuwa na vyama vingi si kuleta uadui wa kisiasa, bali maendeleo. Lakini uroho wa madaraka na kujilimbikizia madaraka, kunafanya watu wawe na roho za kinyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…