Mzee wa Chato: Mimi ni mwanachadema mtiifu kwa chama changu lakini Rais Magufuli anapofanya mazuri lazima tumuunge mkono

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
20,230
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
20,230 2,000
Nimeupenda sana huu msimamo wa yule mzee wa Chato ambaye ni Chadema damu aliyesema Rais Magufuli kwa mazuri anayolitendea taifa hili ni lazima tumuunge mkono bila kujali itikadi za vyama vyetu

Ni matumaini yangu kuwa wanachadema wenye mapenzi mema duniani kote ikiwemo kamati kuu ya Chadema watauchukua ushauri wa kigogo huyu wa Chadema kutoka Chato - Geita.

Maendeleo hayana vyama!
 
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
20,567
Points
2,000
tindo

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
20,567 2,000
Kuna mtu anaweza kuhojiwa na vyombo vya habari sasa hivi enzi hizi za kundi la watu wasiojulikana kisha akasema tofauti na hicho huyo mzee alichoongea? Tundu Lissu tu ndio anaweza kuongea kutomkubali Magufuli hadharani na wapinzani wachache. Wengine wote ni kumsifu mungu wa Tanzania.
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
20,230
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
20,230 2,000
Kuna mtu anaweza kuhojiwa na vyombo vya habari sasa hivi enzi hizi za kundi la watu wasiojulikana kisha akasema tofauti na hicho huyo mzee alichoongea? Tundu Lissu tu ndio anaweza kuongea kutomkubali Magufuli hadharani na wapinzani wachache. Wengine wote ni kumsifu mungu wa Tanzania.
Umemuelewa lakini kigogo huyo wa Chadema kutoka Chato?!
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
20,230
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
20,230 2,000
Halafu sio lazima,mbona mnalazimisha kuungwa mkono?mmegundua Nini?
Hujalazimishwa.......huo ni ushauri kutoka kwa kigogo huyo wa chadema!
 
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
2,003
Points
2,000
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
2,003 2,000
MTU AKIFANYA VIZURI APONGEZWE AKIFANYA VIBAYA AKUBALI KUKOSELEWA(SIO KUKASHFIWA ETI DIKTETA UCHWARA)
 
Alexism

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Messages
3,363
Points
2,000
Alexism

Alexism

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2011
3,363 2,000
Lete clip tumuone huyo mzee wa CHATO....
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
20,230
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
20,230 2,000
Yule mzee sio wa chato ni wa karagwe huko kagera..


Mzee magu ana mashamba yake huko kitengule na ndo alipokuwa akienda akakutana na daladala na kuisimamisha
Ndio huko huko mkuu!
 
MAPITO Mwanza

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Messages
745
Points
1,000
MAPITO Mwanza

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2018
745 1,000
Wewe ulitaka aseme je au wasiojulikana wewe huwajui ? Unajitoa ufahamu
 

Forum statistics

Threads 1,316,112
Members 505,494
Posts 31,879,391
Top