Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,681
- 40,884
Sio mbaya
Hata nyerere feki anakushangaaNimeupenda sana huu msimamo wa yule mzee wa Chato ambaye ni Chadema damu aliyesema Rais Magufuli kwa mazuri anayolitendea taifa hili ni lazima tumuunge mkono bila kujali itikadi za vyama vyetu
Ni matumaini yangu kuwa wanachadema wenye mapenzi mema duniani kote ikiwemo kamati kuu ya Chadema watauchukua ushauri wa kigogo huyu wa Chadema kutoka Chato - Geita.
Maendeleo hayana vyama!
HUYO ALIKUWA ANAUZA SURA TU, NA ALITAMKA HIVYO AKITEGEMEA ATAHITWA A MKUU AMPE MKONO, NA PIA CHOCHOTE. NJAA MBAYA.Nimeupenda sana huu msimamo wa yule mzee wa Chato ambaye ni Chadema damu aliyesema Rais Magufuli kwa mazuri anayolitendea taifa hili ni lazima tumuunge mkono bila kujali itikadi za vyama vyetu
Ni matumaini yangu kuwa wanachadema wenye mapenzi mema duniani kote ikiwemo kamati kuu ya Chadema watauchukua ushauri wa kigogo huyu wa Chadema kutoka Chato - Geita.
Maendeleo hayana vyama!
Husifananishe karagwe na vitu vya ajabu kama chato.Ndio huko huko mkuu!
Hata nyerere feki anakushangaaView attachment 1151528
Kama Dunia inavyomuunga mkono Kabugi....Disappeared and died...CCM wenye mapenzi mema pia Muungeni mkono angalau Maiti ya Mwandishi Azory ipatikaneNimeupenda sana huu msimamo wa yule mzee wa Chato ambaye ni Chadema damu aliyesema Rais Magufuli kwa mazuri anayolitendea taifa hili ni lazima tumuunge mkono bila kujali itikadi za vyama vyetu
Ni matumaini yangu kuwa wanachadema wenye mapenzi mema duniani kote ikiwemo kamati kuu ya Chadema watauchukua ushauri wa kigogo huyu wa Chadema kutoka Chato - Geita.
Maendeleo hayana vyama!
pumbavuNdio huko huko mkuu!
Huyu kigogo ana akili nyingi sana.Umemuelewa lakini kigogo huyo wa Chadema kutoka Chato?!
feelings zako vs feelings huru za mzee wa chatoWewe ulitaka aseme je au wasiojulikana wewe huwajui ? Unajitoa ufahamu
Kuna mtu anaweza kuhojiwa na vyombo vya habari sasa hivi enzi hizi za kundi la watu wasiojulikana kisha akasema tofauti na hicho huyo mzee alichoongea? Tundu Lissu tu ndio anaweza kuongea kutomkubali Magufuli hadharani na wapinzani wachache. Wengine wote ni kumsifu mungu wa Tanzania.
MTU AKIFANYA VIZURI APONGEZWE AKIFANYA VIBAYA AKUBALI KUKOSELEWA(SIO KUKASHFIWA ETI DIKTETA UCHWARA)
[/QUOT
mkuu ilo povu unamaanisha wanaomponda mwamba wa chato unawatamani sana vipi nawewe ndio wale Wale unaonekana unawachukia sana watanzania wezio wanaomponda raisi wetueeh
Kwani we unafikiria ni nini?Au kisa aliongea mtukufu nanilii?Dictator uchwara Ni kashfa au sifa?
Wewe ndiye hujamuelewaUmemuelewa lakini kigogo huyo wa Chadema kutoka Chato?!
Hahahaa.......chadema bhana!pumbavu