Mzee Sitta hiyo ndiyo CCM, nenda mahakamani

Dah watu hawampendi Sitta jamani.

Watampenda kwalipi ndg? Tatizo hawa watu wanajisahau sana wawapo na madaraka. Badala yakuitumikia jamii wao wanatumikia bwana zao.

Akafie mbele tu Mzee mnafiki mkubwa huyu. Laana ya wapenda haki itamuandama mpk kaburini.
 
Alichakachua katiba kwa kuahidiwa uraisi . Mungu mkubwa kakatwa tena na bado atakatwa hadi kwenye nafasi nyingine . Hapa kazi tu.
 
Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge. Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi. Pia tunapenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.

Nimefurahi sana huyu mzee si alie pigisha maiti kura bunge la Katiba?
 
Hivi hakuna wengine wanaoweza uspika hadi yeye tuuuu na hata atakayepata akimaliza miaka mitano anachapa lapa
 
Naona aliyelipwa hapa hapa duniani zaidi ni Lowasa kwanza katoswa CCM baada ya kutumia mabilioni ya pesa na pia kutoswa na Watanzania baada ya kununua chama kwa mabilioni ya pesa na kufanya usanii wa aibu wa kutumia pesa kuweka mafuriko feki, kuwalipa watu wajifanye kuzimia kwa kukosa hewa sehemu iliyo wazi na kuwalipa wengine eti wasafishe bara bara gari yake ipite. Baada ya yote hayo wale waliolopwa pesa wakawa wa kwanza kumtosa Lowasa. Malipo ni hapa hapa duniani

Mambo ya Lowassa yanaingiaje hapa wewe? Acha umajinuni
 
:clock::clock::clock::clock::clock::msela::msela::msela::msela::msela::msela::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::lalala::kev::kev::kev::kev:

Najisikia rahaaaaaa
 
Ile ahadi ya Tanzania ya Magufuli , Tanzania ya viwanda naanza kuiona, huu usafishaji ni lazima uendelee ikiwa CCM kinahitaji kushikilia Dora 2020 najua kwa sasa bado John anafuata ushauri wa karibu wa wazee hajawa na maamuzi yake hajawafahamu hasa akinanani wapo ready to fight for him na hili atalitambua after three years to come.

Sitta amekuwa ndumilakuwili anauma na kupuliza, Hana msimamo thabiti anafuata upepo..kitu ambacho ni hatari sana kwa siasa za kuimarisha chama na kujenga Dora imara.
 
Kila aliyehusika na kuhujumu katiba mpya laana haitomwacha , bado kuna mwingine kabaki .

Lakini mkuu si hata mgombea wetu wa UKAWA naye si aliipinga hiyo KATIBA ya wananchi......inawezekana hata kukosa kwake uraisi ni laana ya kuikataa katiba iliyobeba maoni ya wananchi.......
 
Hatimae yametimia Mzee Mashuhuri Bw.Samwel Sitta kwa Mara nyingine tena CCM imemwona hana maadili Na kumkatilia mbali Na kumwondoa katika kuwania Uspika Wa Bunge. Tunachukua nafasi hii kumkumbusha Kauli yake kuwa "Akikatwa Anaenda Mahakamani" hivyo tunamsubiri akafungue kesi. Pia tunapenda kumkumbusha Mzee wetu hiyo ndio CCM.

Kwa jinsi Samweli 6 alivyotuvurugia katiba yetu hii ndio adhabu yake stahiki
 
Back
Top Bottom