Kama wao walikuwa wanapiga Blabla jitofautishe kwa kuweka Plate namba za gari wanzomiliki,Block / plot namba ya majumba wanayomiliki sio kurudia nyimbo za Kikasuku, mnaogopa nini kiweka ushahidi wa vitu hivyo! Nyie kipindi kile mnatumika kama wawezeshaji wa Mtandao si mlimzushia sana Mzee Sumaye eti anamiliki Trillion 10.
tatizo Zitto haeleweki, jana alikataa kuwa hajawahi kumiliki Hammer
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people
Acha uzembe wewe, nania kakuambia, mtu anayomba ajira hawi discussed na mwajiri wake?
Kujadiliwa unapoomba ajira na kuwa discussed ni idea hiyo, usiwe punguani.
Sasa kwenye hii mada ni nani anaeomba ajira?
Kuna jamaa kaniambia huyu dogo alipokuja New York karibuni alikodisha private jet kumpeleka Washington D,C kwa washkaji wake wakati kuna shuttle za every hour kati ya NY na DC. Halafu eti alimwachia tip ya dola elfu moja mama mmoja aliyekuwa anamhudumia. I do not know how true this is, but it is out there.eti anaendesha toyota camri :biggrin1: you guys have made my day
Soma maelezo yake vizuri,wewe ndio hueleweki mbona mimi nimemwelewa,iq yako ina download slowly
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people
Hivi kama mtu atanunua majumba ya kifahari leo halafu baadaye akahojiwa juu ya chanzo cha mapesa yaliyotumika kununua majumba hayo, kisha yeye akajibu kwamba; ni kweli majumba hayo alikuwa nayo kisha akaamua kuyauza kwa sababu zozote zile, itaondoa hoja ya msingi? Ndivyo ilivyo kwa Nyepesi. Kakili alikuwa anamiliki Hummer, Range, V8. Yote ya bei mbaya kisha kayauza eti kisa kashindwa kumudu gharama za matumizi yake. Hiyo inaondoa hoja? Nyie mnaosema ndiye Rais 2015, nyie tu ndio mtachagua kwa niaba ya watanzania wote na kumpa huo urais? Kama alinunua magari ya kifahari kwa mapesa mengi bila kujua kama atamudu gharama za matumizi yake huko si kukurupuka? Kama ameshindwa hilo, unampima kwa kigezo gani kiasi cha kusema ndiye rais wako 2015? Hivi mtu anaweza akamiliki magari hayo ilihali hana nyumba ya maana? Hapo si changa la macho? Mbona kataja chanzo cha pesa cha gari analodai kuwa anamiliki kwa sasa na hajataja vyanzo vya fedha vilivyomwezesha kununua Hummer, Range na V8?
Duh!hii kali mkuu wangu!duuh!hopefully ni majungu tu.Kuna jamaa kaniambia huyu dogo alipokuja New York karibuni alikodisha private jet kumpeleka Washington D,C kwa washkaji wake wakati kuna shuttle za every hour kati ya NY na DC. Halafu eti alimwachia tip ya dola elfu moja mama mmoja aliyekuwa anamhudumia. I do not know how true this is, but it is out there.