Mzee nae anatafakuri....

kwani rais aliwahi kuanguka?mbona una roho mbaya unamsingizia mzee wa watu?
 
Duh, Jey Wa Safari amedozi labda kwa uchovu wa safari ya jana yake..
 
Lowasa nae mchokozi,anamwangalia kwa dharau sana our excellent head of the state!
 
Kuna jamaa tulisoma naye alisinzia darasani akajamba.
Naogopa sana kusinzia mbele ya watu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jamani na spika zote hzo na kelele jamaa kalala hahahah kweli jamaa dhaifu aiseee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hiyo picha ni photoshop, haingii akilini hata kama ni ushabiki
 
Inawezekana alikuwa kwenye mkesha wa Christmas
 
Hahaaa haaa watu mmemtaimu, Ilikua wapi hii?? namuona na mkuu RO yupo hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…