johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Huyo ni kinyongaUjue John mimi huwa sikuelewi!
Huyo ameshaichoka ccmUjue John mimi huwa sikuelewi!
Mimi tayari nilishamuelewa, anisumbui kabisa zama hizi.Ujue John mimi huwa sikuelewi!
Sio kinyonga tuu ...the guy is just imbecile...... yupo kama bhangi unaweza kuiwasha mbele au nyuma.....fakeHuyo ni kinyonga
Umekasirika mimi kuingia Chadema kabla yako!Sio kinyonga tuu ...the guy is just imbecile...... yupo kama bhangi unaweza kuiwasha mbele au nyuma.....fake
a confused double standard kengeUmekasirika mimi kuingia Chadema kabla yako!
Wewe lisha kitimoto migombani siasa ni zaidi ya mbege
Mimi hua namwelewaUjue John mimi huwa sikuelewi!
Matusi ya kichaga hayo....... hahaha!a confused double standard kenge
Kipo wapi sahivi? Nchi hii chama ni kimoja tu CCM, vingine vyote havina itikadi ya kujenga nchi. Km CHADEMA itikadi ni ukabila na ukanda haitakubalika imeshachoka.Nakumbuka wakati nachukua kadi ya Chadema 1992 nikiwa na Makamanda wenzangu mzee Mtei alisema Chadema ni chama ambacho hakitachoka...
Karibu Gangilonga Iringa kesho!Kipo wapi sahivi? Nchi hii chama ni kimoja tu CCM, vingine vyote havina itikadi ya kujenga nchi. Km CHADEMA itikadi ni ukabila na ukanda haitakubalika imeshachoka.
We unaota kaamke usingiziniKaribu Gangilonga Iringa kesho!
Jamaa kama una akili kisoda humuelewi hata kidogo.. Ila ni moja ya mboga mboga wanaopatwa na kauchungu na utu π π π mengine ni mashetani kabisaMimi hua namwelewa
Jo unakera halafu unabore sana sometimes! Kama huna cha kuandika heri ukae kimyaMatusi ya kichaga hayo....... hahaha!
Siasa ni dynamic mbwiga wewe
..
Kwahiyo utaniroga?Jo unakera halafu unabore sana sometimes! Kama huna cha kuandika heri ukae kimya
Kuna shida gani kama wanachama wanamkubali?Chama kimechoka kwa kuongozwa na mtu mmoja, ukihoji tu, wasiojulikana watakujibu.