Mzee Mtambuzi ni mnoko sana.

hahahahaaaaa....!!!!. mia
Mzee wa mia,ww hukuwepo wakati naolewa na na papa Rejao ndio maana,
Ila ndio ivo tena huku ana mvuto balaa na kwake ndio nishafika,na hiyo pua ndio ugonjwa wangu,yani maisha hakuna bila mme wangu kipenzi Rejao,mia.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah..lol, mke lazima alindwe..chezeya ndoa weye!

Z
My darling Rejao
 
Last edited by a moderator:
LOL......Pole sana wangu huyu mzee inabidi siku akija kalewa tumfunge na kamba kwenye tendegu la kitanda.
Wala hujakosea my dia,yaani itabiti tumkalie kikao ili kuakikisha tnakomeha tabia yake lol!

Yote hayo kisa nimemharibia siku ile alijidai anaingia night kumbe alitaka kwenda kulala kwa dada Glady!
 
Hayo majungu sasa,mwezio nimemkoleza mme wangu ww unasema limbwata!!!

Ushawahi kupewa kutwa mara 3 ww?

hapa nampatia cha mchana full pakeji hahaha hahha,mtabakia kudhan ni libwata kumbe full maufundi lol!
 
unajua Cantalisia huyu mzee amezaliwa enzi za mjerumani halafu analea watoto enzi za JK lazima atachanganya madesa tu bora akuruhusu ujichunge mwenyewe wala hata hutaleta tabu lakini anavyokubana mwisho wa siku tutalea mimba ya kuruka ukuta na ushungi.
 
Back
Top Bottom