Mzee Mtambuzi ni mnoko sana.

Last edited by a moderator:
Toka huyu mzee achukue likizo ya uzazi amempiga marufu Cantalisia kutembea, hata nje tu hatoki anachungulia nje kwa dirishani. Mtambuzi utavunja uchumba wa Rejao hutaki wajukuu zaidi yangu? mruhusu basi leo atoke ni ijumaa.

TaiJike nakushukuru kwa hii usefu sredi maana imesaidia mdingi kunitoa kifungon,nilimharibia kwa maza ndio akanitupa kifungon.
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa Tai,halafu nasikia kampiga biti hataki kabisa mahusiano yake na rejao,nasikia anadai eti anataka mwanae aolewe na Taiga Wudu.

Jaman Bishanga hata km nilipigwa biti lkn co kutaka niolewe na huyo ulomtaja!hv kwann unapenda kuongelea ndoa za watu wakati ww huna ndoa jaman!ndoa yangu na Rejao wangu iko pale pale na mda huu natumia kumpa cha mchana ebo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom