Mzee Mtambuzi ni mnoko sana.

Naona umeanza kumtisha mapema kabisa Bishanga ili amalize game mapema na asikuharibie katika makoloni yako unayomiliki hapa jukwaa sijui saa hizi ni yatakuwa yamefika kama idadi ya viti vya ubunge vya CCM tehe tehe tehe.

Bishanga hapo ni nyumba ya Said Mwema hasogezi magulu baja yake.
 
Last edited by a moderator:
safi sana mzee Mtambuzi.....
rejao mwenyewe hajatoa mahari...
halafu ajilie vya bure...

fungia ndani hiyo binti....
 
Last edited by a moderator:
Naweka pingamizi la kufunga mjadala, ulitakiwa uwe umeshaweka toka alfajiri watu na matongo wanatafuta kesi hazionekani. una faini ya bia 5.

hapo umempatia eti anamchunga binti wakati sokoni anaenda peke yake au ndo wale wazee ambao shopping anafanya peke yake hata waifu hatoki ndani mwisho wa siku shambaboy anajilia kiulaini bila chenga.
 
hapo umempatia eti anamchunga binti wakati sokoni anaenda peke yake au ndo wale wazee ambao shopping anafanya peke yake hata waifu hatoki ndani mwisho wa siku shambaboy anajilia kiulaini bila chenga.
Asnam, siku hizi una maneno ka nini.........Unajua nitakutovuga!
 
Last edited by a moderator:
Rejao nimemzoea kwenye siasa lakini nasikia nako huku ana mvuto balaa.
Naona umeanza kumtisha mapema kabisa Bishanga ili amalize game mapema na asikuharibie katika makoloni yako unayomiliki hapa jukwaa sijui saa hizi ni yatakuwa yamefika kama idadi ya viti vya ubunge vya CCM tehe tehe tehe.

Mzee wa Rula, huku ni sehemu ya kupumzikia, hamna ban wala stress yoyote. Watu wakinichosha kwenye siasa huwa nakuja kuliwazwa huku.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom