Mzee Mtambuzi in MWANZA...!

Kagoma kuitika bana... Hebu mlazimishe aitike bana, may be anahisi akiitikia nitamnyima kitu!!!
Sijui kama nitaondoka salama katika mji huu wa Mwanza.......
Mambo gani haya kutamanishana na uzee huu, nisije fia kifuani mwa mtu mie..........
 
Sijui kama nitaondoka salama katika mji huu wa Mwanza.......
Mambo gani haya kutamanishana na uzee huu, nisije fia kifuani mwa mtu mie..........

Hebu rudia tena.... Wakati umetaka threesome??? Elizabeth Dominic hebu njoo umsikie huyu mzee...

Afu kwanini ulimfukuza C6 ?? Ulimnong'oneza baada ya muda mfupi akaaga... ulimwambia nini????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…