CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
safi sana wadau
CC: Mtambuzi, Elizabeth Dominic, C6,
halafu charminglady mmemsalimiaje uyo mzee Mtambuzi? #justasking
Hahahahaaaaa...... Huwezi jua bana!!!!!!!!
ni nzuri sana, blue monday ikoje pande hizo
Aisee ni blue kweli afu tarehe zenyewe hizi😎
Ntajua tu bora usijaribu "nimeaga kwetu"
Chezeya Mtambuzi? Subiri kidogo baadaye ataitika tu
tarehe zikoje tena,mifuko imetuna au imetoboka.
Kagoma kuitika bana... Hebu mlazimishe aitike bana, may be anahisi akiitikia nitamnyima kitu!!!
Shaurilo!!!
daaah Mtambuzi kawa kijana mhhhh
Umeona eeeeh..... Yaan hata wewe umekuwa Mzee kwake!!!
. . . . . . . . afu wewe nina neno nawe charminglady, ngoja nitulie nikupe mchongo mzima.