Mzee Morris Nyunyusa; Historia itamkumbuka

Mzee Morris Nyunyusa; Historia itamkumbuka

Swadakta leo kipindi cha mkoa kwa mkoa sijui bado kipo? maana waqt ule utapata kusikia nyimbo mbalimbali kwa mfano kila munu avena kwao kisha mtangazaji anakunyogolea mawili matatu kuhusu huo wimbo sasa vya kwetu hakuna na uzee wetu huu tunachezeshwa ngololo sijui sikileu aah waqt umekwenda wapi? Vipindi kama kombora au ombi lako vilikuwa matata sana huyo pwagu ndo usiseme humuoni ila unacheka jamani mbavu zangu ooooooh jamani mbavu zangu ooooooh leo hawa tunaowana hawachekeshi pamoja na uanaume wao wote na vimini wanavaa na kifuani wameweka vifuu vya nazi bado hawachekeshi.
Well said mkuu.
 
1. Hivi mbali na hiyo midundo ya huyo mzee Morris inayosikika muda mfupi kabla ya kuanza kwa taarifa ya habari TBC Taifa ni midundo ipi tena ni maarufu kutoka kwa huyu mzee?
2. Hivi kila ngoma katika hiyo idadi ya ngoma 17 ilikuwa ikitoa midundo tofauti na ngoma nyingine kiasi cha kulazimu kuwe na idadi hiyo ya ngoma?
 
Wakati anarekordi hiyo midundo ngoma zilikuwa kati ya 10 na 15
 
Nina video ile ya ile midundo ya kabla ya kipindi cha Majira enzi zile RTD mtaalamu wa ku attach video ni nani nimtumie?
 
"inama kidogo shika magoti, nimesimama kama ngongoti.....
..."mtoto jojo sio roboti ,chumbani bingilibingili samasoti...
Kauharibu wimbo mpaka kero...Saida aliimba kwa hisia..ni kisa cha kweli kilichomkuta Salome...domo analeta mambo ya kutekenyana na kulundika maneno yasiyo na maana....
 
Kauharibu wimbo mpaka kero...Saida aliimba kwa hisia..ni kisa cha kweli kilichomkuta Salome...domo analeta mambo ya kutekenyana na kulundika maneno yasiyo na maana....
Hakika..

Jr[emoji769]
 
Tatizo letu kubwa huwa hatuna utamaduni wa kuwaenzi nyota wetu na hata kutunza kumbukumbu zao.wale watoto wa miaka ya 2000 ndoi kabisa hawajawahi hata kusikia huo mdundo.
Ngoja tujaribu kutafuta audio yake kama inapatikana.
 
Back
Top Bottom