DUH itabidi redio ya taifa watupe....lakini redio bidhaa ya taifa iko kwrli,lazima watakuwa nayo kwenye maktaba zaoHivi utaweza uuweke ule mdundo hapa?naona wengi hawaujui nimejaribu youtube haupo
Yeah ikiwemo historia yake kamili alikozaliwa elimu yake mafanikio yake ndoa na familia na hata mwisho wake hii kitu ni muhimu mno kuna watu ngoja nione kama wanaweza kutoa msaada kwenye hiloDUH itabidi redio ya taifa watupe....lakini redio bidhaa ya taifa iko kwrli,lazima watakuwa nayo kwenye maktaba zao
OVA
Yeah ikiwemo historia yake kamili alikozaliwa elimu yake mafanikio yake ndoa na familia na hata mwisho wake hii kitu ni muhimu mno kuna watu ngoja nione kama wanaweza kutoa msaada kwenye hilo
niah 1954 Guasa Amboni wengine siwezi kuwakumbuka kwa haraka

Anaweza sema kwA sasa tuwasifie wakina mondi na waimba singeliUuuuuwiiiii kimeo[emoji35] [emoji15]
View attachment 422142
Kwa miaka mingi tulikuwa tunasikia midundo ya ngoma kuashiria kuanza kwa taarifa ya habari kwenye redio ya Taifa/serikali RTD na baadae TBC! ilikuwa ni midundo maarufu sana na yeyote aliyeisikia hata kwa mbali alijua wazi huu ni wakati wa taarifa ya habari....kwa majonzi makubwa midundo hii haipo tena huko TBC
Midundo hii ni ufundi wa Mzee Morris Nyunyusa mlemavu wa macho aliyekuwa na kipaji cha ajabu cha kupiga ngoma 17 kwa wakati mmoja, na midundo hii ilihusisha ngoma zote hizi
Umahiri wake huu ulimfanya ajulikane ndani na nje ya nchi huku akipata mialiko mingi tu...! Mzee huyu alikuwa ni tunu ya Taifa kwenye sanaa. Ni miaka mingi imepita hakumbukwi popote hata pengine kwenye vyuo vyetu vya sanaa
INAUMA SANA lakini historia itamkumbuka celebrity huyu wa kipindi hicho Mzee Morris Nyunyusa na pengine kuna siku kazi zake zitatakumbukwa na kutengenezewa hakimiliki ili wale aliowaacha wafaidike nako View attachment 422144
midundo ya hiyo ngoma bado ipo, sema we husikilizi TBC TAIFA. Ambayo zamani ilikuwa RTDView attachment 422142
Kwa miaka mingi tulikuwa tunasikia midundo ya ngoma kuashiria kuanza kwa taarifa ya habari kwenye redio ya Taifa/serikali RTD na baadae TBC! ilikuwa ni midundo maarufu sana na yeyote aliyeisikia hata kwa mbali alijua wazi huu ni wakati wa taarifa ya habari....kwa majonzi makubwa midundo hii haipo tena huko TBC
Midundo hii ni ufundi wa Mzee Morris Nyunyusa mlemavu wa macho aliyekuwa na kipaji cha ajabu cha kupiga ngoma 17 kwa wakati mmoja, na midundo hii ilihusisha ngoma zote hizi
Umahiri wake huu ulimfanya ajulikane ndani na nje ya nchi huku akipata mialiko mingi tu...! Mzee huyu alikuwa ni tunu ya Taifa kwenye sanaa. Ni miaka mingi imepita hakumbukwi popote hata pengine kwenye vyuo vyetu vya sanaa
INAUMA SANA lakini historia itamkumbuka celebrity huyu wa kipindi hicho Mzee Morris Nyunyusa na pengine kuna siku kazi zake zitatakumbukwa na kutengenezewa hakimiliki ili wale aliowaacha wafaidike nako View attachment 422144
Inawezekana kabisa ni kweli kwakuwa mara ya mwisho kusikiliza hiyo redio sikumbuki ni mwaka gani nitafanya hivyo jioni ya leo nihakikishe mwenyewemidundo ya hiyo ngoma bado ipo, sema we husikilizi TBC TAIFA. Ambayo zamani ilikuwa RTD
Yeah ikiwemo historia yake kamili alikozaliwa elimu yake mafanikio yake ndoa na familia na hata mwisho wake hii kitu ni muhimu mno kuna watu ngoja nione kama wanaweza kutoa msaada kwenye hilo
niah 1954 Guasa Amboni wengine siwezi kuwakumbuka kwa haraka
Asante sana dada kwa kuja utu uzima dawa Mkurugenzi wa TBC kama atapita huko ni vema aufanyie kazi ushauri wako huu ...tusipepee tu kwenda mbele tukiacha historia inapotea
- Kuna wimbo uliimbwa na Mbaraka Mwinshehe (RIP) Maonyesho Japan yalifana sana, Mzee mayagila na bendi ya polisi , mzee Morisi na ngoma zake Kumi oyaaaa..... Huyo mzee alianza na ngoma kumi baadaye akafikia kumi na tano. Wakati anarekordi kwa ajili ya taarifa alikuwa bado na ngoma kumi. That was 1970 walipoenda kwenye maonyesho ya mwafrika. Redio Tanzania kama wanataka kujiendesha kibiashara, anza kutoa kanda zote za matukio na nyimbo tangu kabla na baada ya uhuru. Watu tuna uchungu na yale yaliyopita Maktaba zetu siyo kama zile za zamani hivyo please Radio tanzania wasaidie watoto na wajukuu zetu wajue nchi hii imetoka wapi na inakwenda wapi. watu kama Mshana jr. ni wachache wenye upendo na moyo wa kusaidia kizazi hiki. Nilisikitika kukutana na msicchana toka Mozambique namwambia Samora na mke wake aliishi Tanzania akasema kwanini? Hajui kwamba hata kulikuwa na vita kwao sababu ni mtoto wa 90s kweli????
Asante sana dada kwa kuja utu uzima dawa Mkurugenzi wa TBC kama atapita huko ni vema aufanyie kazi ushauri wako huu ...tusipepee tu kwenda mbele tukiacha historia inapotea
Kuna vitu umedokeza hapo hana mimi nilikuwa sivujui Je TBC wako tayari kwa hili?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Natamani japo wafanyakazi wachache wa TBC au hata waziri husika alione hili. Nimeona fursa hapo kuna baadhi ya vitu vinapatikana TBC tu ila sina hakika sana na utunzaji wake kama uko vizuri isije ikawa yote haya uliyoyataja yametupwa store iliyojaa mende na mazalia ya panyaNchi hii ina utajiri wa vitu vingi kama TBC ingependa kujiendesha isingekuwa na haja hata ya kufunga vipindi vya bunge ambavyo ni muda mchche kwa mwaka. Imagine unaweka mikanda ya vita vya Msumbiji ambavyo hata mzee Nnauye alishiriki kuhamasisha huko, vita vya Kagera, matukio kama ya wakati papa amekuja Tz wangeuza kila kanda. Hawa watu wamekalia pesa hawana uchungu. Watu tunaangaika kutafuta miziki ya Nuta, Afro Band 70, Kilwa jazz, Tabora jazz, Makongoro music, Mzee Makasi wakati ule hajaokoka akiwa na Remmy, na miziki yote ile ya sixtees mpaka utanda wazi ulipokuja. Tunapenda vile vile kupata kanda za michezo ya Radio Tanzania ya kila J. mosi nathani mchezo ambao siwezi kusahau ni "Mkataa Pema, pabaya panamwita", Akina Pwagu na Pwaguzi nakumbuka tukio la kuuza senene wakauza na wadudu wananuka pwagu akasema hawanuki haoo. ( kwa sauti ya kisambaa). Jamani turudishieni ya zamani watoto wetu wajue ustarabu tuliokuwa tumefikia. Tumerudi nyuma kihistoria na kiutamaduni. Kizazi cha zamani tulikuwa tunawekewa ngoma za makabila na mila zao siku hizi ni akina diamond. Sidhani kama mzee Moris aliweza kanyaga Ikulu pamoja na kuliwakilisha taifa nje kwa ngoma zetu pamoja alikuwa kipofu. Rais Magufuli nenda Redio Tanzania waambie wachapishe na kutoa maigizo, nyimbo na video za zamani ili wajiendeshe wenyewe.
Kama dada yangu Sango na kaka Kipozi wanapitia humu, hebu ishauri idara hii. Hao ni watu ninaowafahamu vizuri ila kuna watangazaji kama Charles Hilary bado wana ushawishi kwa wasikillizaji wa nchi hii popote pale, Hivi Charles Nyaisanga yupo bado?Natamani japo wafanyakazi wachache wa TBC au hata waziri husika alione hili. Nimeona fursa hapo kuna baadhi ya vitu vinapatikana TBC tu ila sina hakika sana na utunzaji wake kama uko vizuri isije ikawa yote haya uliyoyataja yametupwa store iliyojaa mende na mazalia ya panya
Mmh Nyaisanga sina hakika sana yuko wapi lakini kama hao uliowataja wapo hapa ngoja tuone reaction yaoKama dada yangu Sango na kaka Kipozi wanapitia humu, hebu ishauri idara hii. Hao ni watu ninaowafahamu vizuri ila kuna watangazaji kama Charles Hilary bado wana ushawishi kwa wasikillizaji wa nchi hii popote pale, Hivi Charles Nyaisanga yupo bado?
Eda Sanga tusaidie, Tatizo wengi walipewa vyeo vya siasa sasa taabu si raihisi kuwajua walipo. Ahamed najua haupo mkuu wa wilaya tena upo wapi? Dada Sango sikusikii wewe nawe. jitokeze basi.Mmh Nyaisanga sina hakika sana yuko wapi lakini kama hao uliowataja wapo hapa ngoja tuone reaction yao