Mzee Mengi ndani ya dreamliner yetu!

Mzee Mengi ndani ya dreamliner yetu!

Mzee Mengi na Shekhe wetu wa Mkoa wa Dar wakijinafasi ndani ya ,,dreamliner" yetu!

Dhm6PeoX4AEswHR.jpg
Hivi haina belt au safari haijaanza
 
Wakati wa serkali ya kikwete mbona alikuwa mkosoaji mkubwa!!ile haikuwa serikali? wakati anatukanwa na prof mhongo !!HUWEZI mlinganisha mbowe na mengi ni watu wawili tofauti kabisa!!mengi ni mwanasiasa?hata mbowe pamoja na hujuma alizofanyiwa mbona hajarudi nyuma!!
Ilikuwa serikali isiyotishwa na kusemwa/kukosolewa. Ilikuwa inatambua lazima kuwe na tofauti kimtazamo.

Yani wewe bado huoni tofauti ya serikali iliyopita na ya sasa au unafanya utani?

Unasema Mbowe hajawa mpole? Jiulize kwanini Chadema yote imepooza inasubiri Msomi Lissu arudi.
 
hivi siti ya dirishani wameikataaa.... kufungua vioo... au havifunguki... ushamba huu na mimi... bora hii ndege imenunuliwa nikatoe ushambaa
 
Back
Top Bottom