Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,583
- 27,838
- Thread starter
- #21
Lakini lazima utasafiri na hilo pipa mkuu tukutane safari ya uzinduzi kwenda Mwanza na Kilimanjaro
Sidhani kama dreamliner ni ya hapa hapa hiyo ni masafa, isitoshe mimi muoga sana wa kupanda ndege napanda ikibidi tu hasa safari za nje ya TZ yetu lkn za ndani mimi ni gari tu!