Mzee Mengi ndani ya dreamliner yetu!

Mzee Mengi ndani ya dreamliner yetu!

Hii kitu ukiacha kuipanda utakosa mengi
 
Hyo VIP nmeipenda kias

Yenyewe pesa hurud kwa
Wenye pesa
 
Mzee Mengi na Shekhe wetu wa Mkoa wa Dar wakijinafasi ndani ya ,,dreamliner" yetu!

Dhm6PeoX4AEswHR.jpg
[/QUOTE
Urafiki rafiki sometimes huwezi kumkosoa mtu sababu ni mshikaji wako
 
Kama una mali nyingi,kupambana na serikali ni kujitakia maradhi tu.

Mtazame Mbowe alivyokuwa mpole.
Wakati wa serkali ya kikwete mbona alikuwa mkosoaji mkubwa!!ile haikuwa serikali? wakati anatukanwa na prof mhongo !!HUWEZI mlinganisha mbowe na mengi ni watu wawili tofauti kabisa!!mengi ni mwanasiasa?hata mbowe pamoja na hujuma alizofanyiwa mbona hajarudi nyuma!!
 
Back
Top Bottom