Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

Huyo Head Mistress ana umri gani?
Nae alikua Mjane?

Hicho cheo anazo sifa zake?
Au ndo yale yale ya Philip Hamim Augustino Mulungu Dickson Mulugo??
:rockon:Namwona kwenye picha akiwa ametakata kabisa na kuwa kijana mdogo kabisa. Dah! Kumbe maji ya Dar es Salaam yana miujiza yake. Lakini huyu bwana ana umri gani? Tangu mke wake alipofariki na kupewa rambirambi nyingi sana ni kwa nini hakuoa? Mh! Hii dunia ina mambo. Au aliona angeoa wakati ule asingepata publicity? I wish him all the best. Fungate ni wapi?
:rockon:
 
  • Nape asimamie kitengo cha make-up akahakikishe ''baby'' wa mwalimu anang'aa
  • Mwigulu kama kawaida............ 5269_513660085363091_978916635_n.jpg
 
Kutafuta kukabidhi mtu jiko katika umri huo kweli!!!!!!!!!

Sijui kama hapo 'kalamu' yake bado inayo wino wa kutosha kweli kuweza kuandika japo ka-ukurasa moja tu kama si kujitafutia tu BP uzeeni tu. Pengine hapo ndio wahenga husema ng'ombe hazeeki maini; yetu macho.

Mhhhh, makubwa!!!!!!!

mangulla.jpg

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Phillip Mangula
 
Nafikiri ni jambo jema mtu kupata mwenza hongera sana mzee wetu na kila la heri katika maisha mapya ya ndoa
 
D k K i l i m i k e a l i s ema mg e n i r a s m i a n a t a r a j i wa k uwa Wa z i r i M k u u , M i z e n g o P i n d a amb a y e a n a t a r a j i a k uwa s i l i k e s h o mk o a n i h a p a a k i t o k e a M b e y a amb a k o a t a t u a l e o s a a 1 1 : 0 0 j i o n i k a t i k a Uwa n j a wa N d e g e wa S o n gwe .



Wa z i r i M k u u P i n d a a n a t a r a j i wa k u f u a t a n a n a K a t i b u M k u u wa C C M , A b d u l r a hma n K i n a n a n a v i o n g o z i mb a l i mb a l i wa c h ama n a S e r i k a l i wa l i o a l i kwa kwe n y e s h e r e h e h i y o .


Kwa gharama za nani?
 
Wazee Waige mfano wa mzee Cleopa MSUYA alifiwa siku nyingi sana na mke lakini kajizuia mpaka leo kutooa tena
 
Am sure this time PM hatavaa suti kama ile aliokuwa nayo Vatikani ktk Sherehe za POPE FRANCIS.
 
Ovyo tuuuuuu viongozi wa CCM kuihujumu nchi yetu bila hata aibu. Wajukuu zenu watawafukua kwenye makaburi yenu na kuwachapa viboko. Nyie subirini tu!
 
Pesa yaweza kufanya lolote, siamini kama huyo mdada anampenda mzee, ila anayapenda maisha ya juu. That is why I love 'Opportunity Cost' concept. Sacrifice 'love' for 'money'
 
Back
Top Bottom