Mzee Mangula kufunga ndoa na mwalimu kesho...

dah, afadhali pinda kapata pacha wake aisee

maana tukiwaweka pale kati Pinda, Mangula, mgimwa na Wasira lazma mtu ukae
Mkuu, nmeipenda hiyo combination yako pia akiwepo na Mwigulu mchemba duh!
 
Kuna zaidi ya hilo, hilo ni ziada tu!
Kujitafutia strees tu na uzee huo na mbaya zaidi huyo Mwalimu awe 30th aisee, babu stress atakoma nazo!
 
Kweli sisi tunachekesha sana maana hapo lazima kutakua na CONFLICT OF INTEREST
 
picha ya huyo mai waifu mtarajiwa twafadhaliiii!
 
kwan hiyo shule anayoongoza huyo bi harusi mtarajiwa n ya mheshimiwa??
Kama ndivyo nina wasiwasi na namna alivyopewa hicho cheo
 
Ukiona hivi ujue anataka kugombea Uraisi!!!!
Mkuu, umetukumbusha mzee Malchela na uzee ule aliamua kumuoa Anna Kilango, na harusi ilisimamiwa na fisadi nyangumi Jeetu Pateli, hii ya Mangula nani anasimamia show?

Maana aliingia kwa gear ya miezi6 kwa mafisadi, kumbe anataka mchango wa harusi,
na yule Msomali kauwa Tembo kisa harusi, maCCM kazi ipo!

Na huyo Mwalimu kadanganywa viti maalum, kumbe2015 ni chadema kote kote...
 
[video]http://boldleaders.ning.com/video/i-am-yolanda[/video]

Nimeipata video ya huyu mama.....ukiangalia facebook yake anasema anapenda to change the world,,na video hii ni maneno yaleyale
 
Let me guess - baada ya kujadili maisha binafsi ya watu wengine, wamejikuta wako kwenye scandal na sasa wanakazana kumaliza mambo! Mangula amekuwa mjane tangu 2004. Kwa miaka yote hii 7 aliishi peke yake?
 
Wow alikuwa AMECHOKA KIJIJINI viatu vimechoka; PESA ya CCM Imeshamtakatisha na kupata KIPUSA cha KUOA...
Kweli PESA za CCM hazidanganyi... Lakini MONEY is not all the HAPPINESS in the WORLD!!!
Mkuu maandishi yako haya yamekosa busara sielewi unataka nini zaidi ya kusifiwa kipuuzi.
 
Khaa!! ya nini bana?? acha wivu kwani unataka kumuoa wewe?? wenyewe wameelewana bana

sio wivu, mbona Mangula tumeambiwa mke wake alifariki 2004 kwa kisukari...sasa kwa nini tusijue na historia ya mama mtarajiwa.?
 
Kitu ya Mh Mwangula hapo katika picha
Andrea Wojnar-Diagne, PC Director (center) with participants of Youth Leadership Exchange Program. Left to right: Chausiku R. Mkuya, Yusra N. Ibwe, Yolanda V. Kaberege, Adolf Lucas, Isaya E. Ng'aso and Robin J. Ufunguo. (Photo: U.S. Embassy, Dsm)
 
Ndo mwambieni na babu heshima kwa mtu wa umri wake ni kuoa kihalali sio kung'ang'ania wake za watu hadi mnakosa kuoana....vitu vingine vinavyowashushia heshima mnavitaka wenyewe cdm.
 
Hii ndiyo Jiko la mzee wetu Philp mangula.
Andrea Wojnar-Diagne, PC Director (center) with participants of Youth Leadership Exchange Program. Left to right: Chausiku R. Mkuya, Yusra N. Ibwe, Yolanda V. Kaberege, Adolf Lucas, Isaya E. Ng'aso and Robin J. Ufunguo. (Photo: U.S. Embassy, Dsm)
 
Let me guess - baada ya kujadili maisha binafsi ya watu wengine, wamejikuta wako kwenye scandal na sasa wanakazana kumaliza mambo! Mangula amekuwa mjane tangu 2004. Kwa miaka yote hii 7 aliishi peke yake?

loh.! hata wanaume wanaitwa wajane sio wagane.?
 
Mkuu ni Mgane sio mjane!
Let me guess - baada ya kujadili maisha binafsi ya watu wengine, wamejikuta wako kwenye scandal na sasa wanakazana kumaliza mambo! Mangula amekuwa mjane tangu 2004. Kwa miaka yote hii 7 aliishi peke yake?
 
Reactions: FJM

For God's sake...just once, acheni hasira zenu za kiitikadi and be happy for the humble guy! Hata Mandela alioa uzeeni baada ya kuacha mke na mkamsifia..kawakosea nini waTanzania Mangula!? Mijizi mnaijua lakini hamuishi kuisifia na kuiona mijanja hapa hapa JF...Mangula ndio wa kumshambulia hivyo hata kwa jambo limpasalo furaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…