Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

Mzee Mangula ameongea kwa Code, wana ishara tumekuelewa

Anduje itabidi apelekwe nje ubalozini,hamna namna. Ofisi kuu yuko mwanamama,asilete giza,mama ajiachie,hata kupumua. Nafasi ya anduje inafaa mwanamke kwa sasa. Lakini jamaa ni swala 5,roho mbaya inatoka wp
 
Nasema kama Huoni bhasi hata Nikiyasema hapa hutayaonaa...!!!

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ondoeni porojo hizi kama kuna kitu amefanya Kwanza ndio kazi aliyoomba lkn pia kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusema eti nafanya makubwa kama kafanya ni yakawaida tu ambayo hata wenzie walifanya! unaweza kulinganisha aliyofanya Mkapa na huyo jamaa yenu mliemfanya kuwa mungu mbona Mkapa hakuwa na hivyo vikundi vyenu vyakuabudu watu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hebu tuwekeeni hiyo clip ya Mangula. Ndiyo pekee ninayemuamini katika chama changu.
Punguzeni udini mm niliona wote walivyo ongea nikama yanafanana tu ndio maana mh rais alisema mambo ambayo angeweza kuyasema yamekwisha kusemwa hata mzee ruksa ilibidi aangaike kutafuta maneno kwakuwa wengi waliyasema yalikuwa yanafanana tu tusiende kwa mfumo nanizaidi yahuyu yetu yawe masikio nakuwatii viongozi wetu umoja uzalendo utamalaki
 
Na 'Mangula' ndiye mwana CCM 'kiongozi' kapuku

Wengine wote utasikia ana shule, jengo, fremu ya kupangisha, na magari mbayo amenyanganya chama
Umasikini sio sifa ya kujivunia. Ni laana kama huoti utajiri wa kuupata kwa mikono yako.
 
Kale kajamaa kenye kibiongo hata mie nilikaona.

Halafu kalikuja kutoa heshima za mwisho na kutia mchanga kaburini kwa Mzee eti akiwa kama member wa familia ya Magu.

Yaani kalivyo tu kama kinyamkera lazima uamini kuwa ni kachawi na kashirikina.
Kumbe mnamsema yule kibyongo mwenye nundu mgongoni alietoa heshima na familia ya magu
 
Anduje itabidi apelekwe nje ubalozini,hamna namna. Ofisi kuu yuko mwanamama,asilete giza,mama ajiachie,hata kupumua. Nafasi ya anduje inafaa mwanamke kwa sasa. Lakini jamaa ni swala 5,roho mbaya inatoka wp
Roho za wachawi hua wanaabudu mungu
 
Ondoeni porojo hizi kama kuna kitu amefanya Kwanza ndio kazi aliyoomba lkn pia kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusema eti nafanya makubwa kama kafanya ni yakawaida tu ambayo hata wenzie walifanya! unaweza kulinganisha aliyofanya Mkapa na huyo jamaa yenu mliemfanya kuwa mungu mbona Mkapa hakuwa na hivyo vikundi vyenu vyakuabudu watu

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Wagangaa njaa hata ukijinyea wanakusifia wapo kama nyumbu
 
Back
Top Bottom